Jeshi : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
dNo edit summary
nimebadilisha interwikim kwenda military; jeshi ni zaidi military kuliko army
Mstari 40: Mstari 40:
[[Category:Jeshi|*]]
[[Category:Jeshi|*]]



[[ca:Exèrcit]]
[[cs:Armáda]]
[[ar:عسكرية]]
[[da:Hær]]
[[an:Melitar]]
[[bn:মিলিটারি]]
[[de:Heer]]
[[en:Army]]
[[bs:Vojska]]
[[es:Ejército]]
[[ca:Militar]]
[[cs:Vojenství]]
[[fa:ارتش]]
[[fr:Armée]]
[[da:Militær]]
[[de:Militär]]
[[he:צבא]]
[[en:Military]]
[[es:Militar]]
[[eo:Armitaj fortoj]]
[[eu:Gudari]]
[[fa:ارتش]]
[[fr:Militaire]]
[[ko:군사]]
[[hr:Vojska]]
[[id:Militer]]
[[id:Militer]]
[[io:Armeo]]
[[ia:Fortias armate]]
[[it:Armata]]
[[is:Her]]
[[nl:Leger]]
[[it:Militare]]
[[he:צבא]]
[[ka:სახმელეთო ჯარები]]
[[krc:Сауутлу кючле]]
[[ja:陸軍]]
[[no:Armé]]
[[la:Res militaris]]
[[pl:Armia]]
[[lt:Kariuomenė]]
[[pt:Exército]]
[[nl:Militair]]
[[ro:Armată]]
[[ja:軍事]]
[[ps:پوځ]]
[[ru:Армия]]
[[sq:Ushtria]]
[[nds:Militär]]
[[simple:Army]]
[[pt:Militar]]
[[sl:Vojska]]
[[ro:Forţe armate]]
[[ru:Вооружённые силы]]
[[fi:Armeija]]
[[sv:Armé]]
[[sk:Vojenstvo]]
[[zh:陆军]]
[[sl:Vojaštvo]]
[[sr:Војска]]
[[sh:Vojska]]
[[sv:Militär]]
[[tl:Hukbo]]
[[ta:படைத்துறை]]
[[tg:Артиш]]
[[vec:Miłitare]]
[[vi:Quân đội]]
[[war:Kasundalohan]]
[[yi:מיליטער]]
[[zh:軍事]]

Pitio la 15:28, 2 Juni 2010

Jeshi jina ya Kiswahili (Kifaransa armée) pia na Kiswahili ni Shurutisho ya Jeshi. Latumika hasa kwa Jeshi la ardhi, Jeshi la majini (au Jeshi la wanamaji) ama pia Jeshi la Anga. Lakini jina la "Jeshi" pekee sana latumika kufafanua Jeshi la ardhi.

Pia hasa kuna Jeshi la Taifa, hasa uudaji wa tabaka ya kijeshi ambayo inahusu Kundi ya jeshi kadhaa.

Kuna Jeshi aina nyingi, Jeshi ambao ni makereketwa kwa watu wengine, au Jeshi kama za dini hasa k.m. Jeshi la wokofu.

Jeshi la ardhi

Jeshi la ardhi lina kituo ama kambi ambayo kambi hii yaweza kulinda kundi ya Jeshi, divisheni ama umma wajeshi. Kukitokea vita, Jeshi huwa wakipeleka divisheni na kundi za kijeshi kwa vipimo kulingana na vita na mbinu za kusukuma ama kushinda adui kwa vita. Na pia ratili ya vita ikiwapendukia, Jeshi hupeleka wanajeshi pulikiza ili kusukuma adui kabisa ama kumshinda adui.

Jeshi la taifa

Jeshi la Taifa ni jeshi ambalo lachukua ubinzani kwa vita kwa ardhi, kwa mfano Jeshi ya Uganda ama Jeshi ya Wafaransa Armée de Terre).

Shurutisho nyingi za jeshi hutofautishana kati ya Jeshi la Ardhi, Jeshi la Anga na Jeshi la Majini, hasa kugawa jeshi kwa matawi tatu. Kwa historia, Jeshi la anga lilikuwa pamoja na Jeshi la ardhi, hasa kwa historia ya Uchina ama Jeshi ya ukombozi ya umma wa Uchina ilichanganya (jeshi la ardhi, jeshi la majini, jeshi la anga, divisheni za makombora na usayari) kwa tawi moja.

Majeshi ya kisasa yaitwa pia huduma, ama askari watawala). Hii inaweza kuhusu pia matawi ya Vita: Jeshi kwa miguu, vifaru, makombora, na mhandisi wa jeshi, na pia Wasafirishaji wa matawi kama: mawasiliano, watambuzi, daktari, wapeleka vifaa, na Jeshi la ndege (tofauti na jeshi la anga).

Shurutisho la jeshi

Jeshi laweza kuwa kubwa kama chama, chama cha Jeshi (Shurutisho) ambayo ina kundi nyingi zaidi za askari. Jeshi tofauti hujigawa kulingana na utamaduni wao — hasa Marekani (Jeshi la kwanza la Marekani). Kwa Jeshi la Uingereza Jeshi kwa shurutisho ni "Jeshi la kwanza", na Marekani ni "divisheni ya kwanza".

(Jeshi Kikundi ama Jeshi kinara) ni shurutisho kubwa zaidi kulingana na umma, utatuzi na ushirikana.

Sovieti Jeshi la Urusi, lilikuwa limegawanywa kwa kundi za askari ambazo zilikuwa chini ya Jeshi shurutisho vitani. Lakini wakati wa amani kundi hizi zilikuwa chini ya tarafa ya Jeshi.

Ona pia