Vermont : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
d roboti Nyongeza: xal:Веермонт |
Xqbot (majadiliano | michango) d roboti Nyongeza: bi:Vermont |
||
Mstari 35: | Mstari 35: | ||
[[be-x-old:Вэрмонт]] |
[[be-x-old:Вэрмонт]] |
||
[[bg:Върмонт]] |
[[bg:Върмонт]] |
||
[[bi:Vermont]] |
|||
[[bn:ভার্মন্ট]] |
[[bn:ভার্মন্ট]] |
||
[[bpy:ভার্মন্ট]] |
[[bpy:ভার্মন্ট]] |
Pitio la 09:06, 1 Juni 2010
Vermont ni jimbo la kujitawala la Maungano ya Madola ya Amerika au Marekani. Iko katika kaskazini-mashariki ya nchi.
Mji mkuu ni Montpelier na mji mkubwa ni Burlington.
Impekana na Kanada (Quebec), New Hampshire, Massachusetts na New York.
Jimbo lina wakazi wapatao 621,270 (2008) wanaokalia katika eneo la kilomita za mraba zipatazo 24,923.
Viungo vya Nje
- (Kiingereza) State of Vermont Official Website
Makala hii kuhusu maeneo ya Marekani bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Vermont kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |