Halijoto : Tofauti kati ya masahihisho
+futa |
No edit summary |
||
Mstari 1: | Mstari 1: | ||
'''Halijoto''' ni neno la kutaja hali ya kitu kama ni baridi au moto. |
|||
{{futa}} |
|||
Wanadamu wana mishipa inayoonyesha tofauti kati ya baridi na joto. Kwa kuwa na uhakika tunatumia [[thermomita]] inayoonyesha halijoto kwa kipimo kama [[selsiasi]], [[kelvini]] au [[fahrenheit]]. |
|||
Kisayansi halijoto ni kiasi cha mwendo wa [[molekuli]] ndani ya gimba, [[kiowevu]] au mjao wa [[gesi]]. Ndani ya gimba [[mango]] na pia ndani ya [[kiowevu]] na gesi molekuli huchezacheza kiasi; mkasi wa kucheza unaonekana kama halijoto yaani kiwango kidogo cha kucheza ni "baridi" na kiwango kikibwa cha kucheza ni "joto". |
|||
"Halijoto" ni |
|||
Pasipo na mwendo kabisa ndani ya mada huitwa kiwango cha joto cha [[sifuri halisi]] ambacho ni sawa na vizio −273.15° kwenye skeli ya selsiasi au vizio 0° kwenye skeli ya kelvini. Hiki ni kiwango cha duni kabisa hakuna baridi zaidi. Kiwango cha juu hakijulikani inawezekana hakuna. |
|||
{{mbegu}} |
|||
==Viwango muhimu vya halijoto duniani== |
|||
Kiswahili Wikipedia Challenge |
|||
Katika mazingira ya dunia kuna viwango fulani vya joto ambavyo ni muhimu hasa: |
|||
*[[Maji]] huganda mnamo halijoto ya 0 [[°C]], 32 [[°F]], au 273.15 [[K]]. |
|||
*Maji huchemka mnamo halijoto ya 100 °C, 212 °F, au 373.15 K. (habari za maji zinalingana na kimo sawa na [[uwiano wa bahari]]) |
|||
* [[Mwili]] wa kibinadamu hwa na halijoto ya 37 °C kama mtu ni mzima. |
|||
{{commonscat|temperature|halijoto}} |
|||
[[Category:Vipimo| ]] |
|||
[[jamii:Fizikia]] |
|||
[[af:Temperatuur]] |
|||
[[ar:درجة حرارة]] |
|||
[[ast:Temperatura]] |
|||
[[az:Temperatur]] |
|||
[[be:Тэмпература]] |
|||
[[be-x-old:Тэмпэратура]] |
|||
[[bs:Temperatura]] |
|||
[[br:Gwrezverk]] |
|||
[[bg:Температура]] |
|||
[[ca:Temperatura]] |
|||
[[ceb:Temperatura]] |
|||
[[cs:Teplota]] |
|||
[[da:Temperatur]] |
|||
[[de:Temperatur]] |
|||
[[et:Temperatuur]] |
|||
[[el:Θερμοκρασία]] |
|||
[[en:Temperature]] |
|||
[[es:Temperatura]] |
|||
[[eo:Temperaturo]] |
|||
[[eu:Tenperatura]] |
|||
[[fa:دما]] |
|||
[[fr:Température]] |
|||
[[gl:Temperatura]] |
|||
[[ko:온도]] |
|||
[[hi:तापमान]] |
|||
[[hr:Temperatura]] |
|||
[[io:Temperaturo]] |
|||
[[id:Suhu]] |
|||
[[is:Hiti]] |
|||
[[it:Temperatura]] |
|||
[[he:טמפרטורה]] |
|||
[[kn:ತಾಪಮಾನ]] |
|||
[[ka:ტემპერატურა]] |
|||
[[ku:Têhn (fîzîk)]] |
|||
[[la:Temperatura thermodynamica]] |
|||
[[lv:Temperatūra]] |
|||
[[lb:Temperatur]] |
|||
[[lt:Temperatūra]] |
|||
[[hu:Hőmérséklet]] |
|||
[[mk:Температура]] |
|||
[[ml:ഊഷ്മാവ്]] |
|||
[[mr:तापमान]] |
|||
[[ms:Suhu]] |
|||
[[nl:Temperatuur]] |
|||
[[nds-nl:Temperetuur]] |
|||
[[ja:温度]] |
|||
[[no:Temperatur]] |
|||
[[nn:Temperatur]] |
|||
[[oc:Temperatura]] |
|||
[[uz:Harorat]] |
|||
[[pms:Temperadura]] |
|||
[[nds:Temperatur]] |
|||
[[pl:Temperatura]] |
|||
[[pt:Temperatura]] |
|||
[[ro:Temperatură]] |
|||
[[qu:Q'uñi kay]] |
|||
[[ru:Температура]] |
|||
[[scn:Timpiratura (statu tèrmicu)]] |
|||
[[sk:Teplota]] |
|||
[[sl:Temperatura]] |
|||
[[sr:Температура]] |
|||
[[sh:Temperatura]] |
|||
[[su:Suhu]] |
|||
[[fi:Lämpötila]] |
|||
[[sv:Temperatur]] |
|||
[[tl:Temperatura]] |
|||
[[ta:வெப்பநிலை]] |
|||
[[te:ఉష్ణోగ్రత]] |
|||
[[tr:Sıcaklık]] |
|||
[[uk:Температура]] |
|||
[[ur:درجہ حرارت]] |
|||
[[vi:Nhiệt độ]] |
|||
[[fiu-vro:Lämmidüs]] |
|||
[[wuu:温度]] |
|||
[[yi:טעמפעראטור]] |
|||
[[zh:温度]] |
Pitio la 08:52, 27 Mei 2010
Halijoto ni neno la kutaja hali ya kitu kama ni baridi au moto. Wanadamu wana mishipa inayoonyesha tofauti kati ya baridi na joto. Kwa kuwa na uhakika tunatumia thermomita inayoonyesha halijoto kwa kipimo kama selsiasi, kelvini au fahrenheit.
Kisayansi halijoto ni kiasi cha mwendo wa molekuli ndani ya gimba, kiowevu au mjao wa gesi. Ndani ya gimba mango na pia ndani ya kiowevu na gesi molekuli huchezacheza kiasi; mkasi wa kucheza unaonekana kama halijoto yaani kiwango kidogo cha kucheza ni "baridi" na kiwango kikibwa cha kucheza ni "joto".
Pasipo na mwendo kabisa ndani ya mada huitwa kiwango cha joto cha sifuri halisi ambacho ni sawa na vizio −273.15° kwenye skeli ya selsiasi au vizio 0° kwenye skeli ya kelvini. Hiki ni kiwango cha duni kabisa hakuna baridi zaidi. Kiwango cha juu hakijulikani inawezekana hakuna.
Viwango muhimu vya halijoto duniani
Katika mazingira ya dunia kuna viwango fulani vya joto ambavyo ni muhimu hasa:
- Maji huchemka mnamo halijoto ya 100 °C, 212 °F, au 373.15 K. (habari za maji zinalingana na kimo sawa na uwiano wa bahari)
- Mwili wa kibinadamu hwa na halijoto ya 37 °C kama mtu ni mzima.