Babu wa Kanisa : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
d roboti Badiliko: pt:Padres da Igreja
d roboti Badiliko: zh:教父 (基督教歷史)
Mstari 52: Mstari 52:
[[sv:Kyrkofader]]
[[sv:Kyrkofader]]
[[uk:Отці Церкви]]
[[uk:Отці Церкви]]
[[zh:教]]
[[zh:教父 (基督教歷史)]]

Pitio la 21:08, 26 Mei 2010

Babu wa Kanisa ni jina la heshima ambalo kuanzia karne IV Kanisa Katoliki limewapatia Wakristo wa kale (hadi mwaka 750 hivi), wenye utakatifu, elimu na imani sahihi, ambao mafundisho yao yanawezesha kujua mapokeo ya Mitume.

Orodha ya kwanza ya mababu wa Kanisa iliandikwa katika Hati ya Gelasi (karne VI); baadhi yao waliongezewa jina la Mwalimu wa Kanisa.

Muhimu zaidi upande wa Mashariki ni: Atanasi, Basili Mkuu, Gregori wa Nazienzi na Yohane Krisostomo. Upande wa Magharibi ni: Ambrosi, Agostino wa Hippo, Jeromu na Papa Gregori I.

Viungo vya nje