Migoli : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 17: Mstari 17:

{{mbegu-jio-TZ}}
{{mbegu-jio-TZ}}

KIJIJI HICHI KILIANZISHWA MAPEMA WAKATI SERIKALI ILIPOAMUA KUJENGA BWAWA LA MTERA HIVYO WATU WOTE AMBAO WALIKUWA WAKIISHI PEMBEZONI MWA MKONDO WA MTO RUAHA WALIAMULIWA KUSOGWEZWA MAENEO MENGINE. WAZEE WA KWANZA KULETWA KATIKA KIJIJI CHA MIGOLI KILICHOKUA NA MITAA MIWILI YAANI MTAA WA MIGOLI NA MTAA WA MAKONGE WALIKUA NI MZEE MAULIDI NDILWA, MZEE NYAKUNGA,MZEE SIMILI MAGOMBA, MZEE PAULO MAGOMBA , MZEE MADEKEDEKE,MZEE KINYAGA AMBAO WALIKUJA NA FAMILIA ZAO

Pitio la 12:34, 26 Mei 2010

Migoli ni mji mdogo wa Mkoa wa Iringa nchini Tanzania, kwenye mita 700 juu ya usawa wa bahari.

Unapatikana kando ya Bwawa la Mtera ambako wakazi wengi hutegemeza maisha yao katika uvuvi.

Eneo hili lina rutuba lakini mvua ni chache (kwa kawaida haifikii mm. 300 kwa mwaka), hivyo wakazi hawajishughulishi sana na kilimo, hivyo wananunua nafaka kutoka sehemu ambazo zinalimwa kwa wingi, kama vile Ismani tarafani na Mtamba Dodoma.

Kumbe ni eneo maarufu kwa ufugaji, hasa wa ng'ombe na mbuzi, wanaostawi katika mbuga isiyo na malale.

Eneo hili, ambapo inapita barabara kuu ya Afrika kutoka Misri hadi Afrika Kusini (ingawa sehemu hii kati ya Dodoma na Iringa haijatiwa lami), ni endelevu hasa ukilinganishwa na vijiji vingine vya nchi ya Tanzania, kwa kuwa una huduma nyingi za jamii ambazo zimetokana na juhudi za serikali na wananchi wenyewe.

Wafadhili wa miradi mbalimbali ni kama vile parokia katoliki ya Migoli na makampuni ya mawasiliano kama vile Zain, Tigo, Vodacom na Zantel.