Helsingborg : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
dNo edit summary
dNo edit summary
Mstari 9: Mstari 9:


<gallery>
<gallery>
Picha:Helsingborg Stairs to Fortress.jpg|''Ukumbi wa Helsingborg''
Picha:Helsingborg Stairs to Fortress.jpg|''Kituo cha biashara''
Picha:Helsingborg port.jpg |''Bandari''
Picha:Helsingborg port.jpg |''Bandari''
Picha:Bphotell.jpg |''Hoteli za Brunnspark''
Picha:Bphotell.jpg |''Hoteli za Brunnspark''

Pitio la 23:49, 19 Mei 2010

Helsingborg

Helsingborg ni mji kubwa nchini Uswidi. Ni mji mkubwa wa nane katika nchi wa Uswidi. Kuna wakazi 95,444 (mwaka 2008). Iko kando ya mlangobahari ya Oresund. Huu ni miongoni mwa miji ya zamani sana nchini Uswidi.


Jiografia

Eneo lake ni 37.63 km². Umbali na nchi ya Denmark ni 4 km


Viungo vya nje



Makala hii kuhusu maeneo ya Ulaya bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Helsingborg kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.