Santa Cruz de Tenerife : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
d roboti Nyongeza: war:Santa Cruz de Tenerife; cosmetic changes
No edit summary
Mstari 19: Mstari 19:
[[Picha:Tenerife2005 056.jpg|tumb|right|250px|Kitovu cha mji wa Santa Cruz]]
[[Picha:Tenerife2005 056.jpg|tumb|right|250px|Kitovu cha mji wa Santa Cruz]]
[[Picha:SanAndrés2.JPG|thumb|right|250px|Mapwa ya Playa de Las Teresitas]]
[[Picha:SanAndrés2.JPG|thumb|right|250px|Mapwa ya Playa de Las Teresitas]]
[[Picha:Auditorio de Tenerife Pano.jpg|thumb|right|250px|Auditorio de Tenerife]]

'''Santa Cruz de Tenerife''' au kwa kifupi '''Santa Cruz''' ([[Kihispania]]: Msalaba Mtakatifu) ni makao makuu ya utawala wa kisiwa cha [[Tenerife]] na moja kati ya miji mikuu miwili ya funguvisiwa ya [[Visiwa vya Kanari]] inayojitawala ndani ya [[Hispania]]. Visiwa vya Kanari vimo katika sehemu ya Ki[[afrika]] ya [[Atlantiki]].

Pitio la 13:07, 10 Mei 2010

Jiji la Santa Cruz de Tenerife
Nchi Visiwa vya Kanari
Eneo la Santa Cruz kisiwani
Kitovu cha mji wa Santa Cruz
Kitovu cha mji wa Santa Cruz
Mapwa ya Playa de Las Teresitas
Auditorio de Tenerife

Santa Cruz de Tenerife au kwa kifupi Santa Cruz (Kihispania: Msalaba Mtakatifu) ni makao makuu ya utawala wa kisiwa cha Tenerife na moja kati ya miji mikuu miwili ya funguvisiwa ya Visiwa vya Kanari inayojitawala ndani ya Hispania. Visiwa vya Kanari vimo katika sehemu ya Kiafrika ya Atlantiki.

Mji ulikuwa na wakazi 217.415 mwaka 2002. Uko kwenye kaskazini ya kisiwa cha Tenerife. Bandari ni kitovu cha kihistoria ch mji. Kuna feri kati ya mji na Las Palmas de Gran Canaria.

Santa Cruz ilianzishwa mwaka 1494 Wahispania walipovamia Tenerife na kufanya vita dhidi ya wenyeji. Mahali pa mji wa sasa kiongozi Mhispania alisimamisha msalaba mkubwa wa ubao aliposheherekea ushindi juu ya Waguanche wenyeji. Mji mpya ulipokeajina kutokana na msalaba huo.

Mji ulikua kama kituo muhimu cha safari za kuvuka Atlantiki kati ya Ulaya na Amerika.

Santa Cruz ilikuwa mji mkuu wa funguvisiwa mnamo 1812. Tangu 1982 ni mji mkuu pamja na Las Palmas de Gran Canaria. Kila baada ya miaka minne mmoja kati ya miji hii miwili una nafasi ya kuwa mji mkuu.

Viungo vya Nje

Makala hii kuhusu maeneo ya Hispania bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Santa Cruz de Tenerife kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.