Edwin McMillan : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
d roboti Nyongeza: gl:Edwin Mattison McMillan
d roboti Nyongeza: yo:Edwin McMillan
Mstari 36: Mstari 36:
[[sv:Edwin McMillan]]
[[sv:Edwin McMillan]]
[[uk:Едвін Маттісон Макміллан]]
[[uk:Едвін Маттісон Макміллан]]
[[yo:Edwin McMillan]]
[[zh:埃德温·麦克米伦]]
[[zh:埃德温·麦克米伦]]

Pitio la 01:18, 4 Mei 2010

Edwin Mattison McMillan (18 Septemba, 19077 Septemba, 1991) alikuwa mwanakemia kutoka nchi ya Marekani. Hasa anajulikana kwa kugundua elementi ya neptunium. Mwaka wa 1951, pamoja na Glenn Seaborg alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia.


Makala hii kuhusu mwanasayansi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Edwin McMillan kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.