Frodo Baggins : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
d roboti Nyongeza: ar, bg, bs, ca, cs, da, de, eo, es, et, eu, fa, fi, fr, gl, he, hr, hu, ia, id, it, ja, ms, nl, no, pl, pt, ro, ru, simple, sl, sr, sv, th, tr, zh
+jamii
Mstari 3: Mstari 3:
Kwa mbari, Frodo ni [[mhobiti]]. Hadithi yake hasa yasimuliwa katika ''[[Bwana wa Mapete]]''. Amerithi [[Pete Kuu]] kutoka kwa mjomba wake, [[Bilbo Baggins]], akasafiri kutoka nchi ya [[Shire]], yaani nyumbani kwake, hadi nchi ya [[Mordor]] ili kuteketeza pete na kumshinda Bwana mwovu [[Sauron]].

[[Jamii:Bwana wa Mapete]]
[[Jamii:Wahusika wa fasihi]]
[[Jamii:Wahusika wa fasihi]]

Pitio la 06:48, 24 Aprili 2010

Frodo Baggins ni mhusika katika vitabu vya bunilizi ya kinjozi vilivyoandikwa na J.R.R. Tolkien.

Kwa mbari, Frodo ni mhobiti. Hadithi yake hasa yasimuliwa katika Bwana wa Mapete. Amerithi Pete Kuu kutoka kwa mjomba wake, Bilbo Baggins, akasafiri kutoka nchi ya Shire, yaani nyumbani kwake, hadi nchi ya Mordor ili kuteketeza pete na kumshinda Bwana mwovu Sauron.