Vita vya wenyewe kwa wenyewe nchini Marekani : Tofauti kati ya masahihisho
d roboti Badiliko: th:สงครามกลางเมืองอเมริกัน |
d roboti Badiliko: war:Gera Sibil Amerikanhon |
||
Mstari 113: | Mstari 113: | ||
[[uk:Громадянська війна в США]] |
[[uk:Громадянська війна в США]] |
||
[[vi:Nội chiến Hoa Kỳ]] |
[[vi:Nội chiến Hoa Kỳ]] |
||
[[war: |
[[war:Gera Sibil Amerikanhon]] |
||
[[yi:אמעריקאנער בירגערקריג]] |
[[yi:אמעריקאנער בירגערקריג]] |
||
[[yo:Ogun Abẹ́lé Amẹ́ríkà]] |
[[yo:Ogun Abẹ́lé Amẹ́ríkà]] |
Pitio la 00:34, 24 Aprili 2010
Vita vya wenyewe kwa wenyewe nchini Marekani vilipiganiwa kuanzia 1861 hadi 1865 kati ya majimbo ya kusini na majimbo ya kaskazini nchini Marekani.
Kundi la majimbo ya kusini likajitenga na Maungano ya Madola ya Amerika likajiita "Shirikisho la madola ya Amerika" na idadi kubwa zaidi ya majimbo ya kaskazini pamoja na serikali kuu yalitaka kuzuia farakano hili.
Sababu moja muhimu ya vita ilikuwa swali la utumwa. Majimbo ya kaskazini yaliwahi kupiga utumwa marufuku lakini majimbo ya kusini yaliendelea na sharia zilizoruhusu utumwa na matajiri wengi wa kusini walitegemea kazi ya watumwa.
Sababu nyingine zilikuwa tofauti za kiuchumi; majimbo ya kaskazini yalikuwa na viwanda na miji mingi mikubwa lakini uchumi wa kusini ulikuwa hasa kilimo kilichotegema kazi ya watumwa.
Uchaguzi wa mwanasiasa Abraham Lincoln aliyekuwa mpizani wa utumwa kuwa rais wa Marekani uliharakisha farakano kutokea.
Vita vilikuwa virefu na watu 650.000 walikufa lakini mwishoni kaskazini ilishinda.