Nasaba ya Han : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
Xqbot (majadiliano | michango) d roboti Ondoa: wuu:汉朝 |
Xqbot (majadiliano | michango) d roboti Nyongeza: zh-min-nan:Hàn-tiâu |
||
Mstari 68: | Mstari 68: | ||
[[zh:汉朝]] |
[[zh:汉朝]] |
||
[[zh-classical:漢]] |
[[zh-classical:漢]] |
||
[[zh-min-nan:Hàn-tiâu]] |
|||
[[zh-yue:漢朝]] |
[[zh-yue:漢朝]] |
Pitio la 19:42, 22 Aprili 2010
Utawala wa Han (Kichina cha asili: 漢朝 ; Kichina rahisi: 汉朝; Hanyu Pinyin: Hàn cháo; Wade-Giles: Han Ch'au; 206 KK – 220 BK) ulifuata utawala wa Qin, na ulitangulia Dola Tatu katika Uchina. Utawala huu ulianzishwa na familia maarufu iliyofahamika kama Ukoo wa Liu.
Watu wa Uchina huhesabu utawala wa Han uliodumu kwa mika mia nne kuwa moja ya vipindi vikuu katika historia nzima ya Uchina. Hivyo, watu wa jamii kubwa ya Uchina hujihesabu mpaka leo “watu wa Han”, kwa heshima ya familia ya Han na utawala waliouanzisha.