1908 : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
Xqbot (majadiliano | michango) d roboti Badiliko: sah:1908 |
Xqbot (majadiliano | michango) d roboti Nyongeza: ur:1908ء |
||
Mstari 148: | Mstari 148: | ||
[[udm:1908 ар]] |
[[udm:1908 ар]] |
||
[[uk:1908]] |
[[uk:1908]] |
||
[[ur:1908ء]] |
|||
[[uz:1908]] |
[[uz:1908]] |
||
[[vec:1908]] |
[[vec:1908]] |
Pitio la 02:25, 15 Aprili 2010
Lango la Historia | Lango la Biografia | Karibuni | Orodha ya Miaka
◄ |
Karne ya 19 |
Karne ya 20
| Karne ya 21
◄ |
Miaka ya 1870 |
Miaka ya 1880 |
Miaka ya 1890 |
Miaka ya 1900
| Miaka ya 1910
| Miaka ya 1920
| Miaka ya 1930
| ►
◄◄ |
◄ |
1904 |
1905 |
1906 |
1907 |
1908
| 1909
| 1910
| 1911
| 1912
| ►
| ►►
Matukio
Waliozaliwa
- 22 Januari - Lev Landau (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1962)
- 4 Aprili - Frances Ford Seymour, mke wa pili wa Henry Fonda
- 23 Mei - John Bardeen (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia miaka ya 1956 na 1972)
- 25 Mei – Theodore Roethke (mwandishi wa Marekani na mshindi wa Tuzo ya Pulitzer, mwaka wa 1954)
- 30 Mei - Hannes Alfven (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1970)
- 27 Agosti - Lyndon B. Johnson, Rais wa Marekani (1963-69)
- 31 Agosti - William Saroyan (mwandishi Mmarekani, na mshindi wa Tuzo ya Pulitzer, mwaka wa 1940, aliyoikataa)
- 23 Oktoba - Ilya Frank (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1958)
- 13 Novemba – Comer Vann Woodward (mwanahistoria wa Marekani na mshindi wa Tuzo ya Pulitzer, mwaka wa 1982)
- 4 Desemba - Alfred Hershey, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1969
- 17 Desemba - Willard Libby (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1960)
Waliofariki
- 24 Juni - Grover Cleveland, Rais wa Marekani (1885-1889; 1893-1897)
- 22 Julai - Randal Cremer (kiongozi Mwingereza wa chama cha wafanyakazi, na mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Amani, mwaka wa 1903)
- 25 Agosti - Antoine Henri Becquerel (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1903)