Nasaba ya Han : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
d roboti Nyongeza: hif:Han Samrajya
d roboti Ondoa: wuu:汉朝
Mstari 65: Mstari 65:
[[vi:Nhà Hán]]
[[vi:Nhà Hán]]
[[war:Dinastiya Han]]
[[war:Dinastiya Han]]
[[wuu:汉朝]]
[[za:Hanciuz]]
[[za:Hanciuz]]
[[zh:汉朝]]
[[zh:汉朝]]

Pitio la 03:57, 11 Aprili 2010

Eneo la utawala wa Han katika Uchina

Utawala wa Han (Kichina cha asili: 漢朝 ; Kichina rahisi: 汉朝; Hanyu Pinyin: Hàn cháo; Wade-Giles: Han Ch'au; 206 KK – 220 BK) ulifuata utawala wa Qin, na ulitangulia Dola Tatu katika Uchina. Utawala huu ulianzishwa na familia maarufu iliyofahamika kama Ukoo wa Liu.

Watu wa Uchina huhesabu utawala wa Han uliodumu kwa mika mia nne kuwa moja ya vipindi vikuu katika historia nzima ya Uchina. Hivyo, watu wa jamii kubwa ya Uchina hujihesabu mpaka leo “watu wa Han”, kwa heshima ya familia ya Han na utawala waliouanzisha.

Kigezo:Link FA Kigezo:Link FA