8 Mei : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
d roboti Nyongeza: xal:Хөн сарин 8 |
d roboti Nyongeza: pa:੮ ਮਈ |
||
Mstari 107: | Mstari 107: | ||
[[nrm:8 Mai]] |
[[nrm:8 Mai]] |
||
[[oc:8 de mai]] |
[[oc:8 de mai]] |
||
[[pa:੮ ਮਈ]] |
|||
[[pam:Mayu 8]] |
[[pam:Mayu 8]] |
||
[[pl:8 maja]] |
[[pl:8 maja]] |
Pitio la 14:13, 7 Aprili 2010
Apr - Mei - Jun | ||||||
1 | 2 | 3 | 4 | 5 | 6 | 7 |
8 | 9 | 10 | 11 | 12 | 13 | 14 |
15 | 16 | 17 | 18 | 19 | 20 | 21 |
22 | 23 | 24 | 25 | 26 | 27 | 28 |
29 | 30 | 31 | ||||
Kalenda ya Gregori |
Matukio
- 1721 - Uchaguzi wa Papa Innocent XIII
- 1945 - Mwisho wa Vita Kuu ya Pili ya Dunia katika Ulaya: jeshi la Ujerumani linajisalimisha
Waliozaliwa
- 1828 - Henri Dunant (mwanzishi Chama cha Kimataifa cha Msalaba Mwekundu, na mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Amani, mwaka wa 1901)
- 1884 - Harry S. Truman, Rais wa Marekani (1945-53)
- 1902 - André Lwoff, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1965
- 1925 - Ali Hassan Mwinyi, Rais wa pili wa Tanzania
- 1954 - John Michael Talbot, mwimbaji Mkristo kutoka Marekani
- 1975 - Enrique Iglesias, mwimbaji kutoka Hispania
- 1978 - Baraka Makaba, mtayarishaji wa filamu kutoka Tanzania