Kwale (ndege) : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
dNo edit summary
Nyongeza picha
Mstari 48: Mstari 48:
* ''Francolinus nobilis'', [[Kwale Mrembo]] ([[w:Handsome Francolin|Handsome Francolin]])
* ''Francolinus nobilis'', [[Kwale Mrembo]] ([[w:Handsome Francolin|Handsome Francolin]])
* ''Francolinus ochropectus'', [[Kwale wa Jibuti]] ([[w:Djibouti Francolin|Djibouti Francolin]])
* ''Francolinus ochropectus'', [[Kwale wa Jibuti]] ([[w:Djibouti Francolin|Djibouti Francolin]])
* ''Francolinus pondicerianus'', [[Kwale wa Uhindi]] ([[w:Grey Francolin|Grey Francolin]]) '''imewasilishwa katika Shelisheli na Saint Helena'''
* ''Francolinus psilolaemus'', [[Kwale-bwawa]] ([[w:Moorland Francolin|Moorland Francolin]])
* ''Francolinus psilolaemus'', [[Kwale-bwawa]] ([[w:Moorland Francolin|Moorland Francolin]])
* ''Francolinus rufopictus'', [[Kereng'ende Kidari-kijivu|Kereng'ende]] au [[Kwale Kidari-kijivu]] ([[w:Grey-breasted Francolin|Grey-breasted Francolin]])
* ''Francolinus rufopictus'', [[Kereng'ende Kidari-kijivu|Kereng'ende]] au [[Kwale Kidari-kijivu]] ([[w:Grey-breasted Francolin|Grey-breasted Francolin]])
Mstari 72: Mstari 73:
Image:Francolinus afer1.jpg|Kwale shingo-nyekundu
Image:Francolinus afer1.jpg|Kwale shingo-nyekundu
Image:Cape francolin 02.jpg|Kwale kusi
Image:Cape francolin 02.jpg|Kwale kusi
File:Coqui francolin.jpg|Kwale miguu-njano
File:Erckel's Francolin.PNG|Kwale wa Erckel
File:Erckel's Francolin.PNG|Kwale wa Erckel
File:HFfemale.gif|Kwale wa Hartlaub
File:HFfemale.gif|Kwale wa Hartlaub
File:Yellowneckedspurfowl250.JPG|Kwale shingo-njano
File:Yellowneckedspurfowl250.JPG|Kwale shingo-njano
File:Francolinus natalensis -Pilanesberg National Park, South Africa-8.jpg|Kwale wa Natal
Image:Grey francolin.jpg|Kwale wa Uhindi
File:Crested francolin.JPG|Kwale kishungi
File:Francolinus swainsonii -Kruger National Park-8.jpg|Kwale wa Swainson
</gallery>
</gallery>
<gallery>
<gallery>
Image:Black Francolin.jpg|Black francolin
Image:Black Francolin.jpg|Black francolin
Image:Grey francolin.jpg|Grey francolin
</gallery>
</gallery>

Pitio la 23:18, 6 Aprili 2010

Kwa maana mengine ya jina hili angalia hapa

Kwale
Kwale bawa-jekundu
Uainishaji wa kisayansi
Himaya: Animalia (Wanyama)
Faila: Chordata (Wanyama wenye ugwe wa neva mgongoni)
Ngeli: Aves (Ndege)
Oda: Galliformes (Ndege kama kuku)
Familia: Phasianidae (Ndege walio na mnasaba na kwale)
Jenasi: Francolinus Stephens, 1819

Xenoperdix Dinesen, Lehmberg, Svendsen, Hansen & Fjeldså, 1994

Spishi: Angalia katiba

Kwale (pia kware) ni ndege wa jenasi Francolinus na Xenoperdix katika familia ya Phasianidae. Spishi nne za Francolinus ambazo zina ngozi kichele yenye rangi kali kooni na pande zote za macho huitwa kereng'ende pia. Rangi ya kwale ni kahawia au kijivu na wana michirizi au madoa. Mara nyingi miguu yao ni myekundu au rangi ya manjano na koo lao ni jekundu, jeupe, jeusi au rangi ya manjano. Hujificha kwa kawaida lakini sauti yao husikika mara kwa mara. Chakula chao ni mbegu, wadudu na nyungunyungu. Hutaga mayai matatu hadi kumi ardhini pengine juu ya manyasi makavu.

Karibu spishi zote zinatokea Afrika lakini spishi tano zinatokea Asia.

Spishi za Afrika

Spishi za Asia

Picha