Tofauti kati ya marekesbisho "Idd el Fitr"

Jump to navigation Jump to search
3 bytes removed ,  miaka 10 iliyopita
no edit summary
(mbegu-dini)
'''Idd el Fitr''' ([[Kiarabu]]: '''عيد الفطر''' ''‘idu l-fiṭr''; pia: '''Eid ul-Fitr''', '''Id-Ul-Fitr''', '''Iddul Fitri''', '''Iddi al Fitr''') ni [[sikukuu]] ya [[Uislamu|kiislamu]] inayomaliza mwezi wa [[Ramadan (mwezi)|Ramadan]]. Kipindi cha kufunga kinamalizika kwenye sikukuu hiyo. Ni sherehe ya siku tatu.
 
Idd el Fitr inaanza mara mwezi wa [[hilali]] umeonekana baada ya Ramadan. Waislamu huvaa nguo safi mara nyingi nguo mpya na kutoa zawadi kwa maskini. Msikiti na nyumba mara nyingi zimepambwa. Ni nafasi ya kufurahia kati ya Waislamu.
 
Waislamu huvaa nguo safi mara nyingi nguo mpya na kutoa zawadi kwa maskini. [[Misikiti]] na nyumba mara nyingi zimepambwa. Ni nafasi ya kufurahia kati ya Waislamu.
 
{{mbegu-dini}}
 
[[Category:Sikukuu za Uislamu]]
[[Category:Sikukuu]]
 
[[ar:عيد الفطر]]

Urambazaji