Tofauti kati ya marekesbisho "Dominic Monaghan"

Jump to navigation Jump to search
41 bytes added ,  miaka 12 iliyopita
d
roboti Nyongeza: ko:도미닉 모나한; cosmetic changes
(→‎Viungo vya nje: Jamii:Waigizaji filamu wa Uingereza using AWB)
d (roboti Nyongeza: ko:도미닉 모나한; cosmetic changes)
'''Dominic Bernard Patrick Monaghan''' (amezaliwa tar. [[8 Desemba]], [[1976]]) ni mwigizaji filamu wa [[Uingereza|Kiingereza]]. Amepata umaarufu kote duniani kwa kuigiza kama Meriadoc Brandybuck katika filamu ya ''The Lord of The Rings'' na pia kama Charlie Pace kwenye kipindi cha ''[[Lost]]''. Hivi sasa, anaigiza kama Dr. Simon Campos kwenye kipindi cha [[FlashForward]].
 
== Maisha yake ==
Monaghan alizaliwa mjini [[Berlin]], [[Ujerumani]]. Wazazi wake ni Maureen na Austin Monaghan, ambaye ni mwalimu wa sayansi.<ref>[http://www.rollingstone.com/news/story/6862864/lost_boy/print Lost Boy]</ref> Familia ya Monaghan waliishi katika miji ya [[Berlin]], Dusseldorf-Lohausen, Stuttgart na [[Münster]], wakihamahamakila takriban baada ya kila miaka minne. Baadaye, walihamia katika mji wa [[Manchester]]. Monaghan anaongea Kiingereza na Kijerumani vizuri.
 
== Maisha ya kibinafsi ==
Monaghan anappenda kupanda miti. Yeye anamiliki msitu mdogo nchini India na amefanya kazi kwenye tume za haki za wanyama kama [[People for the Ethical Treatment of Animals|PETA]].<ref>{{cite web |title=Lost Star Dominic Monaghan Appears in New PETA Wildlife Ad |work=HelpingAnimals.com |url=http://www.helpinganimals.com/f-DominicMonaghanAd.asp |accessdate=February 21, 2008}}</ref> Monaghan anapenda wadudu, na amefuga wanyama kama kinyonga.<ref>http://www.contactmusic.com/news.nsf/article/monaghan%20chameleon%20pets%20tearful%20goodbye_1032678</ref>
 
Yeye amewahi kuwa na uhusiano wa kimapenzi na [[Evangeline Lilly]] ambaye ni mwigizaji mwenzake wa kipindi cha ''[[Lost]]'' kuanzia mwaka wa 2004. Mnamo Juni 2008, Monaghan alisafiri pamoja na Lilly mpaka nchi ya Argentina ili kurekodi filamu ya ''Caiga Quien Caiga''.<ref>http://femalefirst.co.uk/celebrity/Evangeline+Lilly-21435.html</ref> Mnamo Juni 2009, yeye na Evangeline walisafiri pamoja kwenda Rwanda. Vilevile, wawili hawa wanaonekana pamoja mjini Vancouver.
 
== Filamu ==
{| border="2" cellpadding="4" cellspacing="0" style="margin: 1em 1em 1em 0; background: #f9f9f9; border: 1px #aaa solid; border-collapse: collapse; font-size: 95%;"
|- bgcolor="#B0C4DE" align="center"
|}
 
=== Vipindi ===
{| border="2" cellpadding="4" cellspacing="0" style="margin: 1em 1em 1em 0; background: #f9f9f9; border: 1px #aaa solid; border-collapse: collapse; font-size: 95%;"
|- bgcolor="#B0C4DE" align="center"
| ''[[Lost]]''
| [[Charlie Pace]]
| Mhusika mkuu tangu 2004 - 2007.<br />Alishinda tuzo la ''Screen Actors Guild Award''.
|-
| 2008
|}
 
== Marejeo ==
{{reflist}}
 
== Viungo vya nje ==
* {{imdb name|0597480}}
* [http://television.aol.com/tv-celebrity-interviews/dominic-monaghan Dominic Monaghan interview]
[[it:Dominic Monaghan]]
[[ja:ドミニク・モナハン]]
[[ko:도미닉 모나한]]
[[la:Dominicus Monaghan]]
[[lt:Dominic Monaghan]]
44,163

edits

Urambazaji