Diokletian : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
d roboti Badiliko: fa:دقلطیانوس |
d roboti Badiliko: fa:دیوکلتیان |
||
Mstari 28: | Mstari 28: | ||
[[et:Diocletianus]] |
[[et:Diocletianus]] |
||
[[eu:Diokleziano]] |
[[eu:Diokleziano]] |
||
[[fa: |
[[fa:دیوکلتیان]] |
||
[[fi:Diocletianus]] |
[[fi:Diocletianus]] |
||
[[fr:Dioclétien]] |
[[fr:Dioclétien]] |
Pitio la 05:56, 1 Aprili 2010
Gaius Aurelius Valerius Diocletianus (takriban 245 – takriban 312) alikuwa Kaizari wa Dola la Roma kuanzia 20 Novemba, 284 hadi 1 Mei, 305 alipojiuzulu. Alimfuata Numerian. Kwanza alitawala dola zima, lakini 1 Machi, 286 alimteua Maximian kutawala sehemu za Magharibi.
Makala hii kuhusu Kaizari fulani wa Roma bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Diokletian kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |