Louisiana : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
Xqbot (majadiliano | michango) d roboti Nyongeza: arz:لويزيانا |
Xqbot (majadiliano | michango) d roboti Nyongeza: rm:Louisiana |
||
Mstari 107: | Mstari 107: | ||
[[pt:Luisiana]] |
[[pt:Luisiana]] |
||
[[qu:Louisiana suyu]] |
[[qu:Louisiana suyu]] |
||
[[rm:Louisiana]] |
|||
[[ro:Louisiana (stat SUA)]] |
[[ro:Louisiana (stat SUA)]] |
||
[[ru:Луизиана]] |
[[ru:Луизиана]] |
Pitio la 02:13, 1 Aprili 2010
Louisiana (Kiingereza: State of Louisiana, Kifaransa: État de Louisiane) ni jimbo la kujitawala la Maungano ya Madola ya Amerika au Marekani. Mji mkuu ni Baton Rouge (Kifaransa: banzi nyekundu) na mji mukubwa jimboni New Orleans (Orleans Mpya). Upande wa kusini ni maji ya ghuba ya Meksiko. Imepakana na Arkansas, Mississippi na Texas. Idadi ya wakazi wa jimbo lote hufikia watu 4,410,796 (2008) wanaokalia eneo la 135,382 km² ambalo ni hasa milima na jangwa.
Viungo vya Nje
State of Louisiana Official Website
Makala hii kuhusu maeneo ya Marekani bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Louisiana kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |