Askofu msaidizi : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
Created page with ''''Askofu msaidizi''' (kwa Kiingereza "auxiliary bishop") ni askofu aliyepewa daraja takatifu ya juu hasa kwa lengo la kwamba amsaidie askofu wa jimbo kuongoza na...'
 
No edit summary
Mstari 1: Mstari 1:
[[File:THE FIRST COUNCIL OF NICEA.jpg|thumb|right|Maaskofu waliokusanyika katika [[Mtaguso wa kwanza wa Nisea]]]]
'''Askofu msaidizi''' (kwa [[Kiingereza]] "auxiliary bishop") ni [[askofu]] aliyepewa [[daraja takatifu]] ya juu hasa kwa lengo la kwamba amsaidie [[askofu wa jimbo]] kuongoza na kusimamia [[dayosisi|jimbo]] lake kulingana na mwongozo wake.

Kwa ajili hiyo kwa kawaida anateuliwa kuwa [[makamu wa askofu]] (walau mmojawao ikiwa maaskofu wasaidizi ni zaidi ya mmoja).
Kwa ajili hiyo kwa kawaida anateuliwa kuwa [[makamu wa askofu]] (walau mmojawao ikiwa maaskofu wasaidizi ni zaidi ya mmoja).

Katika [[Kanisa Katoliki]] la Magharibi askofu msaidizi huteuliwa na [[Papa]] kwa ombi la askofu wa jimbo, ambaye ana pendekeza majina matatu ya mapadri.

Upande wa [[sakramenti]] askofu msaidizi ni askofu kamili kama walivyo maaskofu wengine na huweza kutoa sakramenti zote zikiwa ni pamoja na [[daraja takatifu]] ila atahitaji ruhusa ya askofu wa jimbo ili kufanya hivyo.

Kwa kuwa yumo katika [[urika wa maaskofu]], ni haki yake kushiriki [[mtaguso]] wowote utakaofanyika katika eneo lake na hata [[mtaguso mkuu]].

Katika [[Kanisa Katoliki]] la Magharibi askofu msaidizi huteuliwa na [[Papa]] kwa ombi la askofu wa jimbo, ambaye ana pendekeza majina matatu ya mapadri.

Kati ya majimbo yenye maaskofu wasaidizi wengi zaidi, kuna yale ya [[Mexico City]], [[Roma]], [[Milano]], [[Chicago]], [[Buenos Aires]], [[Rio de Janeiro]], [[Sao Paulo]] na [[Los Angeles]].
Kati ya majimbo yenye maaskofu wasaidizi wengi zaidi, kuna yale ya [[Mexico City]], [[Roma]], [[Milano]], [[Chicago]], [[Buenos Aires]], [[Rio de Janeiro]], [[Sao Paulo]] na [[Los Angeles]].

Pitio la 07:12, 28 Machi 2010

Maaskofu waliokusanyika katika Mtaguso wa kwanza wa Nisea

Askofu msaidizi (kwa Kiingereza "auxiliary bishop") ni askofu aliyepewa daraja takatifu ya juu hasa kwa lengo la kwamba amsaidie askofu wa jimbo kuongoza na kusimamia jimbo lake kulingana na mwongozo wake.

Kwa ajili hiyo kwa kawaida anateuliwa kuwa makamu wa askofu (walau mmojawao ikiwa maaskofu wasaidizi ni zaidi ya mmoja).

Upande wa sakramenti askofu msaidizi ni askofu kamili kama walivyo maaskofu wengine na huweza kutoa sakramenti zote zikiwa ni pamoja na daraja takatifu ila atahitaji ruhusa ya askofu wa jimbo ili kufanya hivyo.

Kwa kuwa yumo katika urika wa maaskofu, ni haki yake kushiriki mtaguso wowote utakaofanyika katika eneo lake na hata mtaguso mkuu.

Katika Kanisa Katoliki la Magharibi askofu msaidizi huteuliwa na Papa kwa ombi la askofu wa jimbo, ambaye ana pendekeza majina matatu ya mapadri.

Kati ya majimbo yenye maaskofu wasaidizi wengi zaidi, kuna yale ya Mexico City, Roma, Milano, Chicago, Buenos Aires, Rio de Janeiro, Sao Paulo na Los Angeles.

Viungo vya nje