Tlaxcala (jimbo) : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
d roboti Badiliko: ro:Tlaxcala
Mstari 64: Mstari 64:
[[tg:Иёлати Тласкала]]
[[tg:Иёлати Тласкала]]
[[tl:Tlaxcala]]
[[tl:Tlaxcala]]
[[uk:Тласкала (штат)]]
[[war:Tlaxcala]]
[[war:Tlaxcala]]
[[zh:特拉斯卡拉]]
[[zh:特拉斯卡拉]]

Pitio la 06:02, 28 Machi 2010

Bendera ya Tlaxcala
Mahali pa Tlaxcala katika Mexiko

Tlaxcala (IPA: [tlasˈkala]) ni moja kati ya majimbo 31 ya Mexiko upande wa kati ya nchi. Mji mkuu ni Tlaxcala na mji mkubwa ni Vicente Guerrero.

Imepakana na Mexico (jimbo), Hidalgo na Puebla. Jimbo lina wakazi wapatao 1,068,207 (2005) wanaokalia katika eneo la kilomita za mraba zipatazo 4,016.

Gavana wa jimbo ni Héctor Ortiz Ortiz.

Lugha rasmi ni Kihispania.

Miji Mikubwa

  1. Vicente Guerrero (55,760)
  2. Apizaco (49,459)
  3. Huamantla (47,286)
  4. Chiautempan (46,776)

Viungo vya Nje



Makala hii kuhusu maeneo ya Mexiko bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Tlaxcala (jimbo) kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.