Rukia yaliyomo

Kiingereza cha Kale : Tofauti kati ya masahihisho

8 bytes removed ,  miaka 13 iliyopita
d
roboti Badiliko: fr:Vieil anglais; cosmetic changes
d (roboti Badiliko: fr:Vieil anglais; cosmetic changes)
Wasemaji wa Kiingereza cha kisasa kwa kawaida hawaelewi tena lugha ya kale ambayo ni karibu zaidi na [[Kijerumani]] hasa Kijerumani cha Kaskazini.
 
== Historia ==
Kiingereza cha Kale kilianzishwa na Wa[[anglia]] na Wa[[saksoni]] waliovamia kisiwa cha Uingereza wakitoka [[Ujerumani]] ya Kaskazini. Wavamiaji wengine walikuwa Wa[[denmark]]. Lugha hizi za [[Kigermanik]] ziliunganika kuwa Kiingereza cha Kale.
 
Uvamizi wa [[Wanormandi]] mwaka 1066 ulileta athira kubwa ya lugha ya Kifaransa. Kiingereza cha Kale kilibadilika kwa kupokea maneno mengi ya Kifaransa na kuwa lugha ya mchanganyiko inayoitwa "[[Kiingereza cha Kati]]".
 
 
== Mifano ya Kiingereza cha Kale ==
 
=== Sala ya Baba Yetu ===
Mfano wa Kiingereza cha Kale ni maneno ya sala ya Kikristo ya "Baba Yetu" katika lahaja ya Kisaksoni cha Magharibi:
: urne gedæghwamlican hlaf syle us todæg,
: and forgyf us ure gyltas, swa swa we forgyfað urum gyltendum.
: and ne gelæd þu us on costnunge, ac alys us of yfele.
 
=== Beowulf ===
Mfano mashuhuri wa fasihi ya Kiingereza cha Kale ni shairi ya "Beowulf" ambayo ni shairi ndefu ya aya 3183. Inasimulia habari za kijana Beowulf anayetoka Uswidi pamoja na marafiki 14 kwa kusudi la kumsaidia mfalme wa Denmark Hrodgar. Hrodgar anateswa na Grendel ambaye ni zimwi mbaya anayemeza watu. Beowulf anamshinda Grendel na mamake na kupokea zawadi nyingi kutoka Hrodgar.
 
|}
 
== Tazama pia ==
[[Kiingereza]]
 
{{mbegu-lugha}}
 
[[CategoryJamii: Lugha]]
[[CategoryJamii: Kiingereza]]
 
[[am:ጥንታዊ እንግሊዝኛ]]
[[fa:انگلیسی قدیم]]
[[fi:Muinaisenglanti]]
[[fr:Anglo-saxonVieil (langue)anglais]]
[[fy:Aldingelsk]]
[[gl:Inglés antigo]]
44,236

edits