Jumba la Makumbusho : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
d roboti Badiliko: bn:জাদুঘর
Mstari 24: Mstari 24:
[[ba:Музей]]
[[ba:Музей]]
[[bg:Музей]]
[[bg:Музей]]
[[bn:যাদুঘর]]
[[bn:জাদুঘর]]
[[br:Mirdi]]
[[br:Mirdi]]
[[bs:Muzej]]
[[bs:Muzej]]

Pitio la 17:07, 13 Machi 2010

Kwa kata nchini Tanzania tazama Makumbusho (Kinondoni)

Makumbusho ni jengo au taasisi penye maonyesho ya vitu vya kale, kazi za sanaa, sampuli za malighafi au vifaa kwa ajili ya kutunza kumbukumbu ya jamii.

Mkusanyiko wa aina hii hulenga kuonyesha mifano ya sanaa, utamaduni, teknolojia au mazingira asilia kwa manufaa ya kuwaelimisha watazamaji.

Kuna makumbusho ya aina mbalimbali yanayokazia fani fulani za elimu kama vile makumbusho ya historia, ya sanaa, ya teknolojia ya sayansi na kadhalika.

Kati ya makumbusho mashuhuri duniani ni