Cleopa David Msuya : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
+kiungo
d roboti Nyongeza: yo:Cleopa David Msuya; cosmetic changes
Mstari 3: Mstari 3:


==Viungo vya nje==
==Viungo vya nje==
*[http://www.pmo.go.tz/biography.php?cat=5&subcat=18 Tovuti ya Ofisi ya Waziri Mkuu wa Tanzania kuhusu Waziri Wakuu waliopita]
* [http://www.pmo.go.tz/biography.php?cat=5&subcat=18 Tovuti ya Ofisi ya Waziri Mkuu wa Tanzania kuhusu Waziri Wakuu waliopita]


{{start box}}
{{start box}}
Mstari 40: Mstari 40:
[[nds:Cleopa David Msuya]]
[[nds:Cleopa David Msuya]]
[[sv:Cleopa David Msuya]]
[[sv:Cleopa David Msuya]]
[[yo:Cleopa David Msuya]]

Pitio la 13:59, 13 Machi 2010

Cleopa David Msuya (amezaliwa 4 Novemba, 1931) ni mwanasiasa kutoka nchi ya Tanzania. Alikuwa Waziri Mkuu mara mbili, 7 Novemba, 1980 hadi 24 Februari, 1983, na tena 7 Desemba, 1994 hadi 28 Novemba, 1995. Kwa sasa ameshastaafu siasa ingawa bado anashika nyadhifa mbali mbali serikalini.

Viungo vya nje

Alitanguliwa na
Edward Moringe Sokoine
Waziri Mkuu wa Tanzania
1980-1983
Akafuatiwa na
Edward Moringe Sokoine
Alitanguliwa na
John Samuel Malecela
Waziri Mkuu wa Tanzania
1994-1995
Akafuatiwa na
Frederick Sumaye
Alitanguliwa na
John Samuel Malecela
Makamu wa Rais wa Tanzania
1994-1995
Akafuatiwa na
Omar Ali Juma


Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Cleopa David Msuya kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.