Tofauti kati ya marekesbisho "Mkoa wa Denizli"

Jump to navigation Jump to search
52 bytes added ,  miaka 11 iliyopita
d
roboti Nyongeza: os:Денизли (ил); cosmetic changes
d (roboti Nyongeza: os:Денизли (ил); cosmetic changes)
'''Denizli''' ni jina la kutaja moja kati ya [[Mikoa ya Uturuki]] uliopo mjini magharibi mwa [[Anatolia]], nyanda za juu katika pwani ya [[Bahari ya Aegean]]. Mikoa ya karibu kabisa na mjini hapa ni pamoja na [[Mkoa wa Uşak|Uşak]] kwa upande wa kaskazini, [[Mkoa wa Burdur|Burdur]], [[Mkoa wa Isparta|Isparta]], [[Mkoa wa Afyon|Afyon]] kwa upande wa mashariki, [[Mkoa wa Aydın|Aydın]], [[Mkoa wa Manisa|Manisa]] kwa upande wa magharibi na [[Mkoa wa Muğla|Muğla]] kwa upande wa kusini. Mji upo kati ya ramani hizi za kijiografia 28° 30’ na 29° 30’ E na 37° 12’ na 38° 12’ N. Unachukua eneo za kilomita za mraba zipatazo 11,868, na idadi ya wakazi wapatao 882,938. Hapo awali idadi ya wakazi wa hapa ilikuwa 750,882 kunako miaka ya 1990. Mji mkuu wake ni [[Denizli]].
 
== Wilaya za mkoani hapa ==
Mkoa wa Denizli umeganyika katika wilaya 19 (mji mkuu '''umekoozeshwa'''):
<table><td>
* [[Acıpayam]]
* [[Akköy]]
* [[Babadağ, Denizli|Babadağ]]
* [[Baklan]]
* [[Bekilli]]
* [[Beyağaç]]
* [[Bozkurt (district), Denizli|Bozkurt]]
* [[Buldan]]
* [[Çal]]
* [[Çameli]]
</td><td>
* [[Çardak]]
* [[Çivril]]
* '''[[Denizli]]'''
* [[Güney]]
* [[Honaz]]
* [[Kale, Denizli|Kale]]
* [[Sarayköy]]
* [[Serinhisar]]
* [[Tavas]]
</td></table>
 
== Viungo vya Nje ==
* [http://www.denizli.gov.tr/eng/ Denizli Governorship official website] {{en icon}}
* [http://www.denizli.bel.tr Denizli Municipality official website] {{tr icon}}
[[ms:Provinsi Denizli]]
[[nl:Denizli (provincie)]]
[[os:Денизли (ил)]]
[[pt:Denizli (província)]]
[[ru:Денизли (ил)]]
44,069

edits

Urambazaji