Karne ya 18 : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
d roboti Nyongeza: qu:18 ñiqin pachakwata |
d roboti Badiliko: jv:Abad kaping 18 |
||
Mstari 116: | Mstari 116: | ||
[[ja:18世紀]] |
[[ja:18世紀]] |
||
[[jbo:17xyxymoi]] |
[[jbo:17xyxymoi]] |
||
[[jv:Abad kaping |
[[jv:Abad kaping 18]] |
||
[[ka:XVIII საუკუნე]] |
[[ka:XVIII საუკუნე]] |
||
[[kk:18 ғ.]] |
[[kk:18 ғ.]] |
Pitio la 20:29, 3 Machi 2010
Miaka ya 1700 | Miaka ya 1710 | Miaka ya 1720 | Miaka ya 1730 | Miaka ya 1740
Miaka ya 1750 | Miaka ya 1760 | Miaka ya 1770 | Miaka ya 1780 | Miaka ya 1790
Watu na matukio
- 1701 - 1714 Vita vya kurithi ufalme wa Hispania
- 1733 - 1739 Vita vya kurithi ufalme wa Polandi
- 1741 - 1748 Vita vya kurithi ufalme wa Austria
- 1756 - 1763 Vita vya miaka saba
- 1776 - 1783 Mapinduzi ya Kimarekani
- 1787 Katiba ya Marekani
- 1789 Mapinduzi ya Kifaransa
- Inaanza migahawa kama mahali pa kubadilishana fikra na elimu
- Falsafa ya mianga inaenea Ulaya; inaanzishwa Encyclopédie (Kamusi elezo)
- Napoleone, jenerali wa Ufaransa, halafu Kaisari
- Johann Wolfgang von Goethe, Mjerumani mwanafasaha
- Alessandro Volta, Mwitalia mwanasayansi
- James Cook, Mwingereza mvumbuzi
- Benjamin Franklin, Mmarekani mwanasayansi na mwanasiasa
- George Washington, rais wa kwanza wa Marekani
- Immanuel Kant (Königsberg, 1724 - 1804), Mjerumani mwanafalsafa
- Adam Smith, Mskotland mchumi
- Wolfgang Amadeus Mozart (Salzburg, 1756 - Vienna, 1791), Mwaustria mwanamuziki
- Jean-Jacques Rousseau (Geneva, 1712 - Ermenonville, 1778), Mwanafalsafa
- Wazungu wanafikia Australia