Mnara wa Babeli : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
d roboti Nyongeza: ms:Menara Babel
d roboti Badiliko: tg:Бурҷи Бобул; cosmetic changes
Mstari 1: Mstari 1:
[[image:Brueghel-tower-of-babel.jpg|thumb|350px|Mnara wa Babeli ulichorwa mara nyingi na wasanii kama picha hii ya [[Pieter Brueghel Mzee]]]]
[[Picha:Brueghel-tower-of-babel.jpg|thumb|350px|Mnara wa Babeli ulichorwa mara nyingi na wasanii kama picha hii ya [[Pieter Brueghel Mzee]]]]
'''Mnara wa Babeli''' ni jengo kubwa linalotajwa katika [[Biblia]] kwenye [[Kitabu cha Mwanzo]] 11:1-9. Kufuatana na taarifa hii mnara ulijengwa pamoja na mji wa [[Babeli]] kama kilele chake.

Mstari 6: Mstari 6:
Kihistoria si wazi ni kipindi gani kinachoangaliwa katika simulizi la Mwanzo 11. Inaonekana ya kwamba wasimulizi walikuwa na habari za [[piramidi]] au [[zigurat]] kubwa zilizokuwepo Babeli na penginepo katika [[Mesopotamia]].

==Maelezo ya Kiimani==
== Maelezo ya Kiimani ==
Simulizi limechukuliwa kwa njia mbalimbali katika mapokeo ya Wayahudi na Wakristo.

Mstari 13: Mstari 13:
Kwa Wakristo Luka katika kitabu cha [[Matendo ya Mitume]] kwenye [[Agano Jipya]] alitumia mfano wa mnara kama kinyume cha matokeo ya siku ya [[Pentekoste]] ambako watu kutoka lugha mablimbali walipata kuelewana kwa msaada wa [[Roho Mtakatifu]].

==Simulizi la Mwanzo 11, 1-9==
== Simulizi la Mwanzo 11, 1-9 ==
11,1 Nchi yote ilikuwa na lugha moja na usemi mmoja.

2 Ikawa watu waliposafiri pande za mashariki waliona nchi tambarare katika nchi ya Shinari; wakakaa huko.

3 Wakaambiana, Haya, na tufanye matofali tukayachome moto. Walikuwa na matofali badala ya mawe, na lami badala ya chokaa.

4 Wakasema, Haya, na tujijengee mji, na mnara, na kilele chake kifike mbinguni, tujifanyie jina; ili tusipate kutawanyika usoni pa nchi yote.

5 BWANA akashuka ili auone mji na mnara waliokuwa wakiujenga wanadamu.

6 BWANA akasema, Tazama, watu hawa ni taifa moja, na lugha yao ni moja; na haya ndiyo wanayoanza kuyafanya, wala sasa hawatazuiliwa neno wanalokusudia kulifanya.

7 Haya, na tushuke huko, tuwachafulie usemi wao ili wasisikilizane maneno wao kwa wao.

8 Basi BWANA akawatawanya kutoka huko waende usoni pa nchi yote; wakaacha kuujenga ule mji.

9 Kwa sababu hiyo jina lake likaitwa Babeli; maana hapo ndipo BWANA alipoichafua lugha ya dunia yote; na kutoka huko BWANA akawatawanya waende usoni pa nchi yote.

== Viungo vya Nje ==
== Viungo vya Nje ==
{{Commonscat|Tower of Babel|Mnara wa Babeli}}

*[http://www.towerofbabel.info The Encyclopedia of Babel] - collection of references to Babel in history, arts and literature
* [http://www.towerofbabel.info The Encyclopedia of Babel] - collection of references to Babel in history, arts and literature
*[http://www.biblegateway.com/cgi-bin/bible?passage=GEN+11:1-9&language=english&version=KJV&showfn=on&showxref=on Genesis 11 (KJV)]
* [http://www.biblegateway.com/cgi-bin/bible?passage=GEN+11:1-9&language=english&version=KJV&showfn=on&showxref=on Genesis 11 (KJV)]
*[http://www.thebricktestament.com/genesis/the_tower_of_babel/gn11_01-03.html The Tower of Babel] from the Brick Testament.
* [http://www.thebricktestament.com/genesis/the_tower_of_babel/gn11_01-03.html The Tower of Babel] from the Brick Testament.
*[http://www.towerofbabel.com/sections/tome/babelinbiblia/ Babel In Biblia: The Tower in Ancient Literature by Jim Rovira]
* [http://www.towerofbabel.com/sections/tome/babelinbiblia/ Babel In Biblia: The Tower in Ancient Literature by Jim Rovira]
*[http://www.christiananswers.net/q-abr/abr-a021.html Is there archaeological evidence of the Tower of Babel?-Christian Source.]
* [http://www.christiananswers.net/q-abr/abr-a021.html Is there archaeological evidence of the Tower of Babel?-Christian Source.]
*[http://www.chabad.org/article.asp?AID=246611 Our People: A History of the Jews - The Tower of Babel]
* [http://www.chabad.org/article.asp?AID=246611 Our People: A History of the Jews - The Tower of Babel]
*[http://www.livius.org/es-ez/etemenanki/etemenanki.html Livius.org: The tower of Babel]
* [http://www.livius.org/es-ez/etemenanki/etemenanki.html Livius.org: The tower of Babel]
*[http://www.frankwu.com/tower.html Tower of Babel] envisioned by science fiction artist [[Frank Wu]]
* [http://www.frankwu.com/tower.html Tower of Babel] envisioned by science fiction artist [[Frank Wu]]

[[Category:Dini]]
[[Jamii:Dini]]
[[Category:Misahafu]]
[[Jamii:Misahafu]]
[[Category:Biblia]]
[[Jamii:Biblia]]

[[am:የባቢሎን ግንብ]]
[[am:የባቢሎን ግንብ]]
Mstari 83: Mstari 83:
[[sv:Babels torn]]
[[sv:Babels torn]]
[[ta:பாபேல் கோபுரம்]]
[[ta:பாபேல் கோபுரம்]]
[[tg:Бурҷи Бабел]]
[[tg:Бурҷи Бобул]]
[[th:หอคอยบาเบล]]
[[th:หอคอยบาเบล]]
[[tl:Tore ng Babel]]
[[tl:Tore ng Babel]]

Pitio la 19:20, 26 Februari 2010

Mnara wa Babeli ulichorwa mara nyingi na wasanii kama picha hii ya Pieter Brueghel Mzee

Mnara wa Babeli ni jengo kubwa linalotajwa katika Biblia kwenye Kitabu cha Mwanzo 11:1-9. Kufuatana na taarifa hii mnara ulijengwa pamoja na mji wa Babeli kama kilele chake.

Katika mapokeo ya Mwanzo 11 Babeli ilikuwa mji wa kwanza uliojengwa baada ya gharika kuu. Watu waliamua kuwa na jengo kubwa katika mji na kilele chake kifike mbinguni. Mpango huu haukupendezwa na Mungu aliyechanganya lugha ya watu walioachana baadaye bila kukamilisha mnara mkubwa.

Kihistoria si wazi ni kipindi gani kinachoangaliwa katika simulizi la Mwanzo 11. Inaonekana ya kwamba wasimulizi walikuwa na habari za piramidi au zigurat kubwa zilizokuwepo Babeli na penginepo katika Mesopotamia.

Maelezo ya Kiimani

Simulizi limechukuliwa kwa njia mbalimbali katika mapokeo ya Wayahudi na Wakristo.

Moja ni ya kwamba hadithi inafundisha kwamba kiburi na dhambi kwa jumla vinatenganisha watu wasiweze kuelewana wala kuishi pamoja. Isipokuwa si wazi dhambi ni lipi.

Kwa Wakristo Luka katika kitabu cha Matendo ya Mitume kwenye Agano Jipya alitumia mfano wa mnara kama kinyume cha matokeo ya siku ya Pentekoste ambako watu kutoka lugha mablimbali walipata kuelewana kwa msaada wa Roho Mtakatifu.

Simulizi la Mwanzo 11, 1-9

11,1 Nchi yote ilikuwa na lugha moja na usemi mmoja.
2 Ikawa watu waliposafiri pande za mashariki waliona nchi tambarare katika nchi ya Shinari; wakakaa huko.
3 Wakaambiana, Haya, na tufanye matofali tukayachome moto. Walikuwa na matofali badala ya mawe, na lami badala ya chokaa.
4 Wakasema, Haya, na tujijengee mji, na mnara, na kilele chake kifike mbinguni, tujifanyie jina; ili tusipate kutawanyika usoni pa nchi yote.
5 BWANA akashuka ili auone mji na mnara waliokuwa wakiujenga wanadamu.
6 BWANA akasema, Tazama, watu hawa ni taifa moja, na lugha yao ni moja; na haya ndiyo wanayoanza kuyafanya, wala sasa hawatazuiliwa neno wanalokusudia kulifanya.
7 Haya, na tushuke huko, tuwachafulie usemi wao ili wasisikilizane maneno wao kwa wao.
8 Basi BWANA akawatawanya kutoka huko waende usoni pa nchi yote; wakaacha kuujenga ule mji.
9 Kwa sababu hiyo jina lake likaitwa Babeli; maana hapo ndipo BWANA alipoichafua lugha ya dunia yote; na kutoka huko BWANA akawatawanya waende usoni pa nchi yote.

Viungo vya Nje

Wikimedia Commons ina media kuhusu: