Shaba : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
d roboti Nyongeza: kk:Мыс
d roboti Badiliko: ht:Kwiv
Mstari 84: Mstari 84:
[[hi:ताम्र]]
[[hi:ताम्र]]
[[hr:Bakar (element)]]
[[hr:Bakar (element)]]
[[ht:Kuiv]]
[[ht:Kwiv]]
[[hu:Réz]]
[[hu:Réz]]
[[hy:Պղինձ]]
[[hy:Պղինձ]]

Pitio la 08:14, 21 Februari 2010


Shaba au Kupri (cuprum)
Jina la Elementi Shaba au Kupri (cuprum)
Alama Cu
Namba atomia 29
Mfululizo safu Metali
Uzani atomia 65.54
Valensi 2, 8, 18, 1
Ugumu (Mohs) {{{ugumu}}}
Kiwango cha kuyeyuka 1357.77 K (1084.62°C)
Kiwango cha kuchemka 2835 K (2562 °C)
Asilimia za ganda la dunia 0.01 %
Hali maada mango

Shaba (pia: Kupri au Cupri kama jina la kisayansi) ni elementi yenye namba atomia 29 kwenye mfumo radidia, uzani atomia ni 65.54. Alama yake ni CU.

Katika mazingira ya kawaida ni metali yenye rangi kahawia nyekundu. Kiwango chake cha kuyeyuka ni 1,083 .

Ni kati ya metali za kwanza wanadamu walitumia baada ya kutoka katika zama za mawe. Si metali ngumu zana hivyo ilikuwa nyepesi ya kushughulikia kwa wanadamu wa kale.

Ikichanganywa na stani kunatokea aloi ya bronzi ambayo ni ngumu zaidi.

Wakati mwingine shaba hupatikana kama metali tupu lakini mara nyingi zaidi kama mtapo.

Tabia muhimu ya shaba ni uwezo wake wa kupitisha umeme. Hivyo imekuwa msingi wa teknolojia yote ya umeme hasa nyaya za kila aina.

Siku hizi shaba huchimbwa hasa katika nchi za Chile (Chuquicamata), Marekani, Urusi, Zambia ("Copperbelt" - kanda la shaba), Zaire(Katanga), Kanada na Peru.

Kigezo:Link FA