Tofauti kati ya marekesbisho "Biashara"

Jump to navigation Jump to search
477 bytes removed ,  miaka 11 iliyopita
+kusafisha
(+kusafisha)
{{otheruses|Business (disambiguation)}}
{{Article issues|article=y|refimprove=September 2008|cleanup=February 2009}}
{{pp-move-indef}}
{{BusinessLaw}}
'''Biashara''' (pia '''kampuni''') ni [[shirika]] linalotambuliwa kisheria ambalo limeundwa kwa ajili ya kuunda au kuuza [[bidhaa]] na / au [[huduma]] kwa [[wateja]] s. <ref>{{cite book
| last = Sullivan
| doi =
| id =
| isbn = 0-13-063085-3}}</ref> Biashara zinapatikana sana katika [[uchumi wa kibepari,]] nyingi zikiwa zinamilikiwa na mtu binafsi kwa ajili ya kupata faida ambayo itaongeza [[mali]] ya wamiliki wake na kuikuza biashara yenyewe. Wamiliki na wahudumu wa biashara huwa na lengo mojawapo kuu kama kupata mapato ya kifedha kutokana na kazi wanayoifanya napia kwa sababu ya kukubali kujiingiza kwenye hatari ya kufanya biashara. Baadhi ya kampuni ambazo malengo yake siyo kama yale yaliyosemwa hapo juu ni kama [[vyama vya ushirika]] na [[kampuni zinazomilikiwa na serikali]] s. Biashara pia inaweza kuanzishwa bilakusudi la [[kupata faida]] au [[ biashara inayomilikiwa na serikali.]].
 
 
[[Jina]] "biashara" inahusiana na hali ya kuwa na shughuli ya kufanya aidha kama mtu binafsi au jamii kwa ujumla, kazi ambayo ina uasaidizi kiuchumi na kibiashara. Neno "biashara" ina takribani Matumizi matatu, kutegemea na upeo - matumizi kwa umoja (juu) kwa maana ya [[kampuni]] fulani au [[shirika,]] matumizi ya upana kurejelea [[sekta ya soko]] fulani, kama vile "biashara ya muziki" au maana pana zaidi kujumuisha shughuli zote katika jamii ya wauzaji wa bidhaa na huduma. Hata hivyo,ufafanuzi wa biashara, kama kiasi kingine katika [[falsafa ya biashara,]] ni suala la mjadala.
 
 
[[Jina]] "biashara" inahusiana na hali ya kuwa na shughuli ya kufanya aidha kama mtu binafsi au jamii kwa ujumla, kazi ambayo ina uasaidizi kiuchumi na kibiashara. Neno "biashara" ina takribani Matumizi matatu, kutegemea na upeo - matumizi kwa umoja (juu) kwa maana ya [[kampuni]] fulani au [[shirika,]], matumizi ya upana kurejelea [[sekta ya soko]] fulani, kama vile "biashara ya muziki" au maana pana zaidi kujumuisha shughuli zote katika jamii ya wauzaji wa bidhaa na huduma. Hata hivyo,ufafanuzi wa biashara, kama kiasi kingine katika [[falsafa ya biashara,]], ni suala la mjadala.
 
==Umiliki wa Biashara==
* '''Biashara ya Ushirikiano:''' Hii ni aina ya biashara inayomilikiwa na watu wawili au zaidi kwa pamoja. Katika aina nyingi za ushirikiano , kila mmiliki ana dhima ya binafsi ya madeni yanayodaiwa biashara yao.
* '''Kampuni:''' Hii ni aina ya biashara ambapo wamiliki wa biashara zenyewe hawana dhima ya kibinafsi ya madeni ya biashara yenyewe. Biashara inaweza kuwa ya kutafuta faida au isiwe ya kutafuta faida. Kampuni nyingi zinamilikiwa na wenye hisa na shughuli zake husimamiwa na [[bodi ya wakurugenzi,]] ambayo huwaajiri wasimamizi wa biashara yenyewe. Pia kuna [[kampuni zinazomilikiwa na serikali]] mbali na ziole zinazomiliokiwa na watu binafsi.
* '''Vyama vya Ushirika:''' [[]]Vyama vya Ushirika ni aina ya biashara ambayo pia kama kampuni wamiliki wake hawana dhima ya kibinafsi kwa madeni ya biashara ambayo lengo lake ni kutafuta faida au isiwe ya kutafuta faida. Vyama vya Ushirika hutofautiana na kampuni kwa kuwa vina wanachama, kinyume na wenye hisa katika kampuni, ambao hushirikishwa katika maamuzi ya chama chenyewe. Vyama vya ushirika kwa kawaida hugawanywa kama[[Vyama vya Ushirika vya wateja]] au [[Vyama vya Ushirika vya Wafanyikazi]] . Vyama vya ushirika ni mojawapo ya misingi wa itikadi ya [[demokrasia ya kiuchumi .]].
 
 
Kwa orodha ya aina ya biashara zinazotambulika kisheria kulingana na nchi, angalia [[Types of business entities.]]
 
 
Kwa orodha ya aina ya biashara zinazotambulika kisheria kulingana na nchi, angalia [[Types of business entities.]].
 
==Aina za Biashara==
* [[Biashara ya Usafiri]] ni biashara ambayo hupata faida yake kupitia kuwasafirisha watu na bidhaa kutoka mahali pamoja hadi mahala pengine.
* Pia kuna makampuni yanayotoa huduma ya umma, kama vile joto, umeme, au uzoaji taka, na kwa kawaida huwa ni mashirika ya kiserikali.
 
 
Kuna mingawanyiko mingine mingi ya aina za biashara.
 
 
 
==Usimamizi==
Ufanisi na umafanikio ya [[uendeshaji wa biashara,]] na kujifunza somo hili, huitwa [[usimamizi.]] Matawi makuu ya usimamizi ni [[usimamizi wa fedha, usimamizi wa masoko, usimamizi wa rasilimali za binadamu, usimamizi wa mikakati , usimamizi wa uzalishaji ,]] usimamizi wa huduma ,na [[usimamizi wa teknolojia ya habari.]].
 
 
Ufanisi na umafanikio ya [[uendeshaji wa biashara,]] na kujifunza somo hili, huitwa [[usimamizi.]] Matawi makuu ya usimamizi ni [[usimamizi wa fedha, usimamizi wa masoko, usimamizi wa rasilimali za binadamu, usimamizi wa mikakati , usimamizi wa uzalishaji ,]] usimamizi wa huduma ,na [[usimamizi wa teknolojia ya habari.]]
 
 
 
===Kurekebisha Mashirika ya Kitaifa===
Katika miongo ya hivi karibuni, mali na makampuni ambayo yalikuwa yakiendeshwa na mataifa mbalimbali yamekuwa yamebadilishwa na kufuata mtindo wa makampuni ya kibiashara. Katika mwaka wa 2003, [[Jamhuri ya Watu wa Uchina]] ilibadilisha 80% ya [[makampuni yanayomilikiwa na serikali na kuyaweka kwenye mfumo sawa na mashirika ya kibiashara. |makampuni yanayomilikiwa na serikali na kuyaweka kwenye mfumo sawa na mashirika ya kibiashara. <ref> http://english.people.com.cn/data/China_in_brief/Economy/Major% 20Industries.html</ref>]]
 
 
Katika miongo ya hivi karibuni, mali na makampuni ambayo yalikuwa yakiendeshwa na mataifa mbalimbali yamekuwa yamebadilishwa na kufuata mtindo wa makampuni ya kibiashara. Katika mwaka wa 2003, [[Jamhuri ya Watu wa Uchina]] ilibadilisha 80% ya [[makampuni yanayomilikiwa na serikali na kuyaweka kwenye mfumo sawa na mashirika ya kibiashara. |makampuni yanayomilikiwa na serikali na kuyaweka kwenye mfumo sawa na mashirika ya kibiashara. <ref> http://english.people.com.cn/data/China_in_brief/Economy/Major% 20Industries.html</ref>]]
 
 
 
==Usimamizi wa Serikali==
{{Cleanup-section|date=August 2007}}
{{globalize|section|date=May 2009}}
[[File:London.bankofengland.arp.jpg|thumb|250px|Benki Kuu ya England katika Threadneedle Street, London, Uingereza.]]
Mamlaka mengi ya kisheria hutoa sheria zinazoelekeza umiliki wa biashara na jinsi biashara inavyoendeshwa katika taifa husika.
 
 
 
===Mpangilio===
* '''Faida katika ulipaji wa kodi .''' Miundo tofauti tofauti katika sheria za kodi hushughulikiwa vitofauti, na huenda jambo hili likailetea biashara yenyewe faida.
* '''Mahitaji ya uwazi.''' Miundo tofauti ya biashara huitajika kutoa kiwango fulani cha habari kwa umma (au kuripoti kwa mamlaka husika),na huitajika kutimiza marshati tofauti tofauti.
 
 
 
 
Watu wawili au zaidi wanaoendesha biashara kwa pamoja lakini wameshindwa kuandaa jinsi maalum ya kujiendesha, wataonekana kama ushirikiano wa ujumla. Sheria ya ushirika ni sehemu ya usimamizi kwa makubaliano ya ushirikiano ikiwa moja imeundwa, na sehemu kwa sheria ya mamlaka ambapo ushirikiano hupo.
 
Mtu binafsi nayemiliki na kuendesha biashara anajulikana kama ''mmiliki pekee ('Sole Propritor'),'' awe ameimiliki kupitia kwa njia rasmi au vingine.
 
Mtu binafsi nayemiliki na kuendesha biashara anajulikana kama ''mmiliki pekee('Sole Propritor'),'' awe ameimiliki kupitia kwa njia rasmi au vingine.
 
 
Vipengele vichche muhimu vya kuzingatia katika kuamua jinsi ya kuendesha biashara ni pamoja na:
 
 
 
#Baadhi ya wamiliki wa biashara katuika mpango wa pamoja huwa wana dhima ya kibanafsi na wanalipia gharama yoyote inayosababishwa na kutolipa kwa madeni yanayodaiwa biashara.
#Katika nchi nyingi, kuna sheria ambazo huchukulia makampuni makubwa makubwa tofauti na biashara dogo dogo. Zinaweza kuepuka kutimiza marshati fulani,kurahisishwa kwa baadhi ya shughuli na njia tofauti ya kulipa kodi.
#"Kwenda umma" (wakati mwingine huitwa [['IPO')]] - ambayo ina maana ya kuruhusu sehemu ya biashara kuwa inamilikiwa na wawekezaji kwa upana au wananchi kwa ujumla-ni lazima kuandaa mfumo tofauti, ambayo ni kawaida ya sheria na taratibu.
 
 
 
===Sheria za kibiashara===
Shughuli nyingi za kibiashara hufuata sheria maaalum ambazo zimechukua muda mrefu kuuundwa.
 
Kama sheria nyingine zinazoadhiri shughuli za kibiashara, katika nchi nyingi ni vigumu kuzirejelea sheria hizi katika mahala pamoja. Kuna sheria zinazosimamia mambo ya kazi na kwa ujumla mahusiano na wafanyakazi, usalama na masuala ya ulinzi [[('[[OSHA']]' au [[Afya na Usalama),]]), sheria za kutobagua (umri, jinsia, ulemavu, kabila, na katika baadhi ya utawala, maswala ya ngono), mshahara wa chini kabisa , [[muungano wa]] sheria, sheria za fidia ya wafanyakazi, na likizo za kimwaka au wakati wa kazi.
 
Katika baadhi ya biashara maalumu, kuna leseni maalum zinazoitajika, aidha kutokana na sheria maalum kujihusisha na biashara fulani, kazi au taaluma, ambayo inaweza kuhitaji elimu maalumu, au kwa serikali za mitaa. Taaluma ambazo zinahitaji leseni maalumu mbalimbali ni kama vile sheria, udaktari kuuza vileo,rubani , utangazaji redio ,kuuza dhamana za uwekezaji , kuuza magari yaliyotumika na kadhalika. Sheria za serikali za mitaa pia zinahitaji leseni na kodi maalum ili kuendesha biashara ya aina yoyote.
Kama sheria nyingine zinazoadhiri shughuli za kibiashara, katika nchi nyingi ni vigumu kuzirejelea sheria hizi katika mahala pamoja. Kuna sheria zinazosimamia mambo ya kazi na kwa ujumla mahusiano na wafanyakazi, usalama na masuala ya ulinzi [[('OSHA']] au [[Afya na Usalama),]] sheria za kutobagua (umri, jinsia, ulemavu, kabila, na katika baadhi ya utawala, maswala ya ngono), mshahara wa chini kabisa , [[muungano wa]] sheria, sheria za fidia ya wafanyakazi, na likizo za kimwaka au wakati wa kazi.
 
 
Katika baadhi ya biashara maalumu, kuna leseni maalum zinazoitajika, aidha kutokana na sheria maalum kujihusisha na biashara fulani, kazi au taaluma, ambayo inaweza kuhitaji elimu maalumu, au kwa serikali za mitaa. Taaluma ambazo zinahitaji leseni maalumu mbalimbali ni kama vile sheria, udaktari kuuza vileo,rubani , utangazaji redio ,kuuza dhamana za uwekezaji , kuuza magari yaliyotumika na kadhalika. Sheria za serikali za mitaa pia zinahitaji leseni na kodi maalum ili kuendesha biashara ya aina yoyote.
 
 
Baadhi ya biashara ziko chini ya sheria zinazoendelea kuundwa. Hizi ni pamoja na viwanda, kwa mfano, huduma za umma, uwekezaji amana, benki, bima, utangazaji, anga, na watoa huduma za afya. Kanuni za mazingira pia ni ngumu sana na zinaweza kuathiri biashara za aina nyingi katika njia zisizotarajiwa.
 
 
 
===Fedha za kuanzisha na kuendesha biashara.===
Wakati biashara zinataka kuchangisha fedha fedha (iitwayo '[['mtaji]]'),]] sheria zaidi huhusika. Sheria na kanuni nyingi huelekeza jinsi ya kuuza [[dhamana za]] uwekezaji (njia ya kuongeza fedha) katika nchi nyingi za Magharibi . Kanuni hizi zinaweza kuhitaji kuweka wazi mambo mengi kuhusiana na maswala ya kifedha ya kampuni husika na hivyo kuwapa wanunuzi 'remedies'. Kwa sababu "dhamana" ni neno pana sana, shughuli nyingi za uwekezaji huweza kuwa chini ya sheria hizi, isipokuwa katika visa maalum.
 
 
Fedha zinaweza kupatikana kupitia njia za binafsi, kwa kutoa hisa kwa umma ('IPO') kwenye [[soko la hisa,]] au kwa njia nyingine nyingi. Baadhi ya masoko ya hisa ni kama vile Shanghai Stock Exchange, Singapore Exchange, Hong Kong Stock Exchange, [[New York Stock Exchange]] na [[Nasdaq]] (Marekani), [[London Stock Exchange]] (Uingereza), wa [[Tokyo Stock Exchange]] (Ujapani), na kadhalika.
 
Fedha zinaweza kupatikana kupitia njia za binafsi, kwa kutoa hisa kwa umma ('IPO') kwenye [[soko la hisa,]], au kwa njia nyingine nyingi. Baadhi ya masoko ya hisa ni kama vile Shanghai Stock Exchange, Singapore Exchange, Hong Kong Stock Exchange, [[New York Stock Exchange]] na [[Nasdaq]] (Marekani), [[London Stock Exchange]] (Uingereza), wa [[Tokyo Stock Exchange]] (Ujapani), na kadhalika.
 
Biashara ambazo zimefanywa za "umma" na usimamamizi mwingi sana kuhusu utawala wa ndani (kama jinsi malipo ya maafisa watendaji hudhamiriwa) na wakati na jinsi habari ni wazi kwa umma zao na wanahisa. Huko Marekani, kanuni hizi za kimsingi kusisitizwa na kutekelezwa na 'United States Securities and Exchange Commission' (SEC). Mataifa mengine ya Magharibi yana viungo vya udhibiti vwa kulinganishwa na hiki. Kanuni hizi husisitizwa na kutekelezwa na 'China Securities Regulation Commission' (CSRC),huko Uchina. Huko Singapore, mamlaka ya udhibiti ni 'Monetary Authority of Singapore' (MAS), na huko Hong Kong, ni 'Securities and Futures Commission' (SFC).
 
 
Ni vigumu sana kuzitaja sheria zote ambazo huathiri biashara. Kwa kweli, sheria hizi zimekuwa nyingi hadi kwamba hakuna mwanasheria yeyote wa biashara anayeweza kujifunza zote, na kulazimisha kampuni kuongeza umaalumu miongoni mwa wanasheria wake. NI jambo la kawaida kwa wanasheria 5-10 kuhitajika hili kushughulikia aina fulani ya shughuli ya kibiashara, kutokana na jinsi sheria za kuelekeza biashara zilivyo nyingi. Sheria za kibiashara huhusu sheria za ushirika za ujumla , sheria ya ajira na kazi, afya , dhamana, 'M &amp; A' (ambaye anashughulikia mambo ya ununuzi), kodi, 'ERISA'(ERISA Marekani inahusiana na mipango ya faida ya mfanyakazi ), chakula na madawa ya udhibiti , umiliki (hushughulika na 'copyrights', ruhusa, 'Trademarks' na kadhalika), sheria ya mawasiliano ya simu, na zaidi.
 
 
Nchini Thailand, kwa mfano, ni lazima ''kujiandikisha'' kiasi fulani cha mtaji kwa kila mfanyakazi, na kulipa ada kwa serikali kwa kiwango cha mtaji kilichoandikishwa. Hakuna mahitaji ya kisheria kuthibitisha kuwa mtaji huu kweli hupo, kinachoitajika pekee ni kulipa ada yenyewe.
 
 
 
===Umiliki===
Wafanyabiashara mara nyingi huwa na[["umiliki"]] muhimu ambao unahitaji ulinzi dhidi ya washindani hili kuzidi kupata faida. Hii inaweza kuhitaji 'patent' au 'copyrights' au utunzaji wa siri za biashara('trade secrets'). Wafanyabiashara wengi wana logo na mbinu ambazo zinaweza kuwafaidi katika 'trademarking'. Kwa sababu ya asili ya haki miliki,wanahitaji ulinzi wabiashara katika kila mamlaka ambamo wana wasiwasi kuhusu washindani. Nchi nyingi ni watia saini wa [[mikataba]] ya kimataifa kuhusu haki miliki, na kwa hivyo makampuni yaliyosajiliwa katika nchi hizi chini ya sheria za kitaifa zimefungwa na mikataba hii.
 
 
 
===Mipango ya Kutoka===
Biashara zinaweza kununuliwa na kuuzwa. Mara nyingi wamiliki biashara urejelea mpango wao wa kutoka kwenye biashara kama "mpango wa kutoka('exit plan')." Mipango hii mingi ni pamoja na [['IPO']] , [['MBO']] na [[kuungana]] na biashara zingine. Biashara ni mara nyingi hazifutiliwi mbali, kwani kufanya hivyo mara nyingi huwa na hasara kubwa.
 
 
 
==Angalia Pia==
{{main|Outline of business}}
 
 
{{col-begin}}
{{col-3}}
 
 
{{portal|Business and economics|NYSE-floor.jpg}}
{{Wikipedia-Books}}
{{col-end}}
 
 
 
==Vidokezo na marejeo==
{{reflistmarejeo}}
 
 
 
==Viungo vya nje==
{{sisterlinks|Business}}
 
 
 
* [http://www.bbb.org/ Better Business Bureau] US &amp; Kanada
* [http://www.dmoz.org/News/Current_Events/Business_and_Economy/ Biashara Current Events] Open Directory
465

edits

Urambazaji