Kislavoni cha Mashariki : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
sahihisho la ramani |
d robot Adding: hsb:Wuchodosłowjanske rěče |
||
Mstari 22: | Mstari 22: | ||
[[fi:Itäslaavilaiset kielet]] |
[[fi:Itäslaavilaiset kielet]] |
||
[[hr:Istočnoslavenski jezici]] |
[[hr:Istočnoslavenski jezici]] |
||
[[hsb:Wuchodosłowjanske rěče]] |
|||
[[it:Lingue slave orientali]] |
[[it:Lingue slave orientali]] |
||
[[ja:東スラヴ語群]] |
[[ja:東スラヴ語群]] |
Pitio la 18:31, 7 Machi 2007
Kislavoni cha Mashariki ni kundi la lugha za Kislavoni zinazozungumzwa katika Ulaya ya Mashariki. Ni lugha tatu za Kirusi, Kiukraine na Kibelorus. Idadi ya wasemaji wa lugha hizi ni kubwa kushinda idadi ya wasemaji wa lugha za Kislavoni cha Kusini au cha Magharibi.
Lugha zote tatu zilitokana katika lugha ya pamoja inayoaminiwa ilitumiwa katika Ulaya ya Mashariki mnamo mwaka 1000 / 1200 BK. Ziliachana baadaye na kukuza tabia za pekee.
Lugha zote tatu hutumia mwandiko wa Kikyrili.
Makala bado ni mbegu. Unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuongezea habari. |