62,394
edits
dNo edit summary |
No edit summary |
||
'''Hans Ernst August Buchner''' ([[16 Desemba]], [[1850]] – [[5 Aprili]], [[1902]]) alikuwa daktari kutoka nchi ya [[Ujerumani]]. Hasa alichunguza [[virusi]] visababishavyo magonjwa na [[damu]] ya binadamu. Alikuwa kaka ya [[Eduard Buchner]] aliyepokea [[Tuzo ya Nobel ya Kemia]] mwaka wa 1907.
Asichanganywe na mtungaji muziki Mjerumani wa karne ya 15, [[Hans Buchner (Mtungaji muziki)|Hans Buchner]].
{{DEFAULTSORT:Buchner, Hans}}
[[Category:Wanasayansi wa Ujerumani|B]]▼
[[Category:Waliozaliwa 1850]]
[[Category:Waliofariki 1902]]
{{mbegu}}
[[de:Hans Ernst August Buchner]]
|
edits