Ulaya ya Magharibi : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
d roboti Nyongeza: yo:Western Europe
d roboti Badiliko: ace:Iërupa Barat; cosmetic changes
Mstari 1: Mstari 1:
[[Picha:CIA Western-Europe-map2.png|thumb|250px|right|Ulaya ya Magharibi kijiografia kufuatana na CIA-Factbook (njano); njano nyeupe: Ulaya ya Kusini-Magharibi]]
[[Picha:CIA Western-Europe-map2.png|thumbnail|250px|right|Ulaya ya Magharibi kijiografia kufuatana na CIA-Factbook (njano); njano nyeupe: Ulaya ya Kusini-Magharibi]]
'''Ulaya ya Magharibi''' ni sehemu ya magharibi ya bara la [[Ulaya]]. Kuna maelezo ya kutofautiana ni nchi zipi ambazo ni sehemu ya kanda hili. Maelezo hutofautiana kutokana na njia mbalimbali za kuangalia sehemu hiyo: kwa maana ya kijiografia, kihistoria, kisiasa au kiutamaduni.

Mstari 13: Mstari 13:
* [[Ufalme wa Muungano]] (Uingereza)
* [[Ufalme wa Muungano]] (Uingereza)

[[Picha:Location-Europe-UNsubregions,_Kosovo_as_part_of_Serbia.png|thumb|250px|right|Ulaya ya Magharibi kufuatana na mpangilio wa Umoja wa Mataifa (buluu nyeupe);
Buluu nyeusi: Ulaya ya Kaskazini
Kijani: Ulaya ya Kusini
Nyekundu: Ulaya ya Mashariki]]
[[Picha:Location-Europe-UNsubregions,_Kosovo_as_part_of_Serbia.png|thumbnail|250px|right|Ulaya ya Magharibi kufuatana na mpangilio wa Umoja wa Mataifa (buluu nyeupe);
Buluu nyeusi: Ulaya ya Kaskazini
Kijani: Ulaya ya Kusini
Nyekundu: Ulaya ya Mashariki]]

== Mpangilio wa Umoja wa Mataifa ==
== Mpangilio wa Umoja wa Mataifa ==
Mstari 27: Mstari 27:
* [[Uswisi]]
* [[Uswisi]]

[[Picha:Iron Curtain Final.svg|thumb|250px|right|Ulaya ya Magharibi kisiasa wakati wa Vita Baridi
Buluu: Ulaya ya Magharibi (NATO)
Kijivu: Nchi zisizofungamana na upande wowote
Nyekundu: Ulaya ya Mashariki (upande wa Umoja wa Kisovyeti)]]
[[Picha:Iron Curtain Final.svg|thumbnail|250px|right|Ulaya ya Magharibi kisiasa wakati wa Vita Baridi
Buluu: Ulaya ya Magharibi (NATO)
Kijivu: Nchi zisizofungamana na upande wowote
Nyekundu: Ulaya ya Mashariki (upande wa Umoja wa Kisovyeti)]]
== Ulaya ya Magharibi kihistoria katika karne ya 20 ==
== Ulaya ya Magharibi kihistoria katika karne ya 20 ==
Wakati wa "[[vita baridi]]" Ulaya ya Magharibi ilimaanisha mara nyingi nchi zote za Ulaya zilizofungamana na upande wa magharibi yaani [[Marekani]] na [[NATO]] dhidi nchi za kikomunisti zilizoshikamana na [[Umoja wa Kisovyeti]].

Mstari 33: Mstari 33:
[[Jamii:Ulaya|Magharibi]]
[[Jamii:Ulaya|Magharibi]]

[[ace:Èropah Barat]]
[[ace:Iërupa Barat]]
[[an:Europa Ozidental]]
[[an:Europa Ozidental]]
[[ar:أوروبا الغربية]]
[[ar:أوروبا الغربية]]

Pitio la 14:19, 10 Februari 2010

Ulaya ya Magharibi kijiografia kufuatana na CIA-Factbook (njano); njano nyeupe: Ulaya ya Kusini-Magharibi

Ulaya ya Magharibi ni sehemu ya magharibi ya bara la Ulaya. Kuna maelezo ya kutofautiana ni nchi zipi ambazo ni sehemu ya kanda hili. Maelezo hutofautiana kutokana na njia mbalimbali za kuangalia sehemu hiyo: kwa maana ya kijiografia, kihistoria, kisiasa au kiutamaduni.

Kanda la kijiografia

Kama kanda la kijiografia ni mara nyingi nchi zifuatazo zinazohesabiwa kuwa Ulaya ya Magharibi:

Ulaya ya Magharibi kufuatana na mpangilio wa Umoja wa Mataifa (buluu nyeupe);
Buluu nyeusi: Ulaya ya Kaskazini
Kijani: Ulaya ya Kusini
Nyekundu: Ulaya ya Mashariki

Mpangilio wa Umoja wa Mataifa

Umoja wa Mataifa umepanga kanda hili tofauti hasa kwa kuhesabu Ufalme wa Muungano upande wa Ulaya ya Kaskazini lakini kuingiza Ujerumani, Austria na Uswisi ambazo zinahesabiwa mara nyingi kama sehemu ya Ulaya ya Kati; ila tu mpangilio wa UM hauna Ulaya ya Kati.

Ulaya ya Magharibi kisiasa wakati wa Vita Baridi
Buluu: Ulaya ya Magharibi (NATO)
Kijivu: Nchi zisizofungamana na upande wowote
Nyekundu: Ulaya ya Mashariki (upande wa Umoja wa Kisovyeti)

Ulaya ya Magharibi kihistoria katika karne ya 20

Wakati wa "vita baridi" Ulaya ya Magharibi ilimaanisha mara nyingi nchi zote za Ulaya zilizofungamana na upande wa magharibi yaani Marekani na NATO dhidi nchi za kikomunisti zilizoshikamana na Umoja wa Kisovyeti.