Zagreb : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
d roboti Nyongeza: sah:Загреб |
d roboti Nyongeza: bo:ཛག་རེབ། |
||
Mstari 27: | Mstari 27: | ||
[[bg:Загреб]] |
[[bg:Загреб]] |
||
[[bn:জাগরেব]] |
[[bn:জাগরেব]] |
||
[[bo:ཛག་རེབ།]] |
|||
[[bs:Zagreb]] |
[[bs:Zagreb]] |
||
[[ca:Zagreb]] |
[[ca:Zagreb]] |
Pitio la 15:22, 6 Februari 2010
Zagreb ni mji mkuu wa Kroatia. Ina wakazi 973,667 2005. Iko katika kaskazini ya nchi kando la mto Sava kwenye kimo cha 120 m juu ya UB na anwani ya kijiografia ni 45°48′N 15°58′E.
Utamaduni
Zagreb ni kitovu cha taasisi za utamaduni wa Kroatia. Chuo Kikuu kiliundwa tar. 23 Septemba, 1669 ni kati ya vyuo vikuu vya kale katika Ulaya ya mashariki. Kuna pia Chuo cha Sanaa na Chuo cha Muziki.
Viungo vya Nje
Makala hii kuhusu maeneo ya Ulaya bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Zagreb kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |