Tofauti kati ya marekesbisho "Jamestown (St. Helena)"

Jump to navigation Jump to search
67 bytes added ,  miaka 10 iliyopita
d
d (roboti Nyongeza: war:Jamestown, Saint Helena)
 
}}
[[ImagePicha:02 Last view of Jamestown St Helena June1970.jpg|300px|thumb|Jamestown mwaka [[1970]] inavyoonekana kutoka baharini]]
[[ImagePicha:Saint helena sm98.png|thumb|300px|right|Jamestown kisiwani [[Saint Helena]].]]
 
'''Jamestown''' ni bandari na [[mji mkuu]] wa [[eneo la ng'ambo la Uingereza]] lenye visiwa vidogo vya [[Saint Helena]], [[Ascension]] na funguvisiwa ya [[Tristan da Cunha]]. Mji uko kisiwani St. Helena katika [[bahari ya Atlantiki]] takriban 1.868 [[km]] mbele ya pwani la [[Angola]]. Idadi ya wakazi inakaribia 1000.
 
Jamestown ilianzishwa mwaka [[1659]] na [[Kampuni ya Kiingereza ya India ya Mashariki]]. Miaka ya nyuma bandari ya Jamestown ilikuwa kituo muhimu cha safari za [[jahazi]] kubwa kati ya Uingereza, [[Afrika Kusini]] na [[India]]. Jina limetokana na jina la mfalme [[James II]] wa [[Uingereza]] na [[Uskoti]] (James VII kama mfalme wa Uskoti).
 
Zamani wafanyabiashara wengi walipeleka dhahabu yao hadi St. Helena kwa sababu kisiwa kilikuwa na sifa ya kuwa mahali pa usalama kwa kutunza dhahabu. Haya yote imepungua hadi kupotea kabisa kwa sababu za mabadiliko ya teknolojia za benki na pia ya usafiri. Leo hii kuna meli tu ya [[RMS St Helena]] inayofika takriban mara 2 kwa mwezi ikitumia siku 4-5 kwa ajili ya safari hadi Afrika Kusini. Idadi ya wakazi wa Jamestown imeendelea kupungua.
 
== Viungo vya Nje ==
* [http://www.btinternet.com/~sa_sa/st_helena/st_helena_jamestown.html St Helena - Jamestown]
 
[[CategoryJamii:Saint Helena]]
[[CategoryJamii:Miji ya Atlantiki]]
[[CategoryJamii:Miji Mikuu Afrika]]
 
[[af:Jamestown, Sint Helena]]
[[no:Jamestown (St. Helena)]]
[[nov:Jamestown, Sankte Helena]]
[[os:Джеймстаун (Сыгъдæг Еленæйы сакъадах)]]
[[pl:Jamestown (Święta Helena)]]
[[pnb:جیمزٹاؤن]]
44,011

edits

Urambazaji