Ghuba ya Bengali : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
d roboti Badiliko: mk:Бенгалски Залив; cosmetic changes
Mstari 1: Mstari 1:
[[Image:Bay of Bengal map.png|thumb|250px|Ghuba ya Bengali kati ya Bara Hindi na Rasi ya Malay]]
[[Picha:Bay of Bengal map.png|thumb|250px|Ghuba ya Bengali kati ya Bara Hindi na Rasi ya Malay]]
[[Image:Fishing boat on Bay of Bengal.JPG|thumb|250px|Mashua ya wavuwi kwenye Ghuba ya Bengali]]
[[Picha:Fishing boat on Bay of Bengal.JPG|thumb|250px|Mashua ya wavuwi kwenye Ghuba ya Bengali]]
'''Ghuba ya Bengali''' ni hori kubwa ya [[Bahari Hindi]] kati ya [[Bara Hindi]], [[Rasi ya Malay]] na [[Sri Lanka]] yenye umbo la pembetatu. Jina la Bengal limetokana na jimbo la [[Bengali ya Magharibi]] katika [[Uhindi]] na nchi ya [[Bangladesh]]. [[Bahari ya Andamani]] inahesabiwa wakati mwingine kuwa sehemu ya ghuba ya Bengal lakini mara nyingi hutazamiwa kama gimba la maji la pekee.

==Nchi jirani==
== Nchi jirani ==
Nchi zinazopakana na ghuba ni [[Sri Lanka]], [[Uhindi]], [[Bangladesh]] na [[Myanmar]]. Kama Bahari ya Andamani inahesabiwa kuwa sehemu ya ghuba hata nchi za [[Uthai]] na [[Indonesia]] zinapaswa kutajwa hapa.

==Mito inayoishia humo==
== Mito inayoishia humo ==
Mito mikubwa ya Bara Hindi inayoishia katika Ghuba ya Bengali ni: [[mto Ganga]], [[mto Meghna]], [[mto Brahmaputra]], [[mto Godavari]], [[mto Krishna]] na [[mto Kaveri]].
Mito mikubwa ya Bara Hindi inayoishia katika Ghuba ya Bengali ni: [[mto Ganga]], [[mto Meghna]], [[mto Brahmaputra]], [[mto Godavari]], [[mto Krishna]] na [[mto Kaveri]].

Mto Ayeyarwady wa [[Myanmar]] unaishia pia katika ghuba hii.
Mto Ayeyarwady wa [[Myanmar]] unaishia pia katika ghuba hii.

==Mabandari==
== Mabandari ==
Mabandari muhimu kwenye ghuba ni:
Mabandari muhimu kwenye ghuba ni:
* katika Bangladesh: [[Chittagong]] na [[Mongla]]
* katika Bangladesh: [[Chittagong]] na [[Mongla]]
* katika Uhindi: [[Chennai]] (zamani [[Madras]]), [[Vishakhapatnam]], [[Kolkata]] (zamani [[Calcutta]]) na [[Pondicherry]]
* katika Uhindi: [[Chennai]] (zamani [[Madras]]), [[Vishakhapatnam]], [[Kolkata]] (zamani [[Calcutta]]) na [[Pondicherry]]

[[Jamii:Bahari ya Hindi]]

[[Category:Bahari ya Hindi]]

[[ar:خليج البنغال]]
[[ar:خليج البنغال]]
Mstari 54: Mstari 52:
[[lt:Bengalijos įlanka]]
[[lt:Bengalijos įlanka]]
[[lv:Bengālijas līcis]]
[[lv:Bengālijas līcis]]
[[mk:Бенгалски залив]]
[[mk:Бенгалски Залив]]
[[ml:ബംഗാള്‍ ഉള്‍ക്കടല്‍]]
[[ml:ബംഗാള്‍ ഉള്‍ക്കടല്‍]]
[[mn:Бенгалын булан]]
[[mn:Бенгалын булан]]

Pitio la 09:01, 25 Januari 2010

Ghuba ya Bengali kati ya Bara Hindi na Rasi ya Malay
Mashua ya wavuwi kwenye Ghuba ya Bengali

Ghuba ya Bengali ni hori kubwa ya Bahari Hindi kati ya Bara Hindi, Rasi ya Malay na Sri Lanka yenye umbo la pembetatu. Jina la Bengal limetokana na jimbo la Bengali ya Magharibi katika Uhindi na nchi ya Bangladesh. Bahari ya Andamani inahesabiwa wakati mwingine kuwa sehemu ya ghuba ya Bengal lakini mara nyingi hutazamiwa kama gimba la maji la pekee.

Nchi jirani

Nchi zinazopakana na ghuba ni Sri Lanka, Uhindi, Bangladesh na Myanmar. Kama Bahari ya Andamani inahesabiwa kuwa sehemu ya ghuba hata nchi za Uthai na Indonesia zinapaswa kutajwa hapa.

Mito inayoishia humo

Mito mikubwa ya Bara Hindi inayoishia katika Ghuba ya Bengali ni: mto Ganga, mto Meghna, mto Brahmaputra, mto Godavari, mto Krishna na mto Kaveri.

Mto Ayeyarwady wa Myanmar unaishia pia katika ghuba hii.

Mabandari

Mabandari muhimu kwenye ghuba ni: