Tofauti kati ya marekesbisho "Mahakama ya Kimataifa ya Jinai"

Jump to navigation Jump to search
no edit summary
No edit summary
No edit summary
 
{{Distinguish2|the [[International Court of Justice]]}}
{{Infobox Geopolitical organization
 
[[File:Omar al-Bashir, 12th AU Summit, 090131-N-0506A-342.jpg|thumb|right|Rais wa Sudan Omar al-Bashir ambaye anatakiwa kufikishwa mbele ya Mahakama ya Kimataifa ya Jinai kwa ukiukaji wa haki za kibinadamu katika eneo la Darfur]]
 
'''Mahakama ya Kimataifa ya Jinai''' (Kifaransa: ''Cour Pénale Internationale''; ambayo kawaida hujulikana kama '''ICC''' or '''ICCt''' ni mahakama ya kudumu ya kuwashtaki watu kwa [[mauaji ya kimbari]], hatia dhidi ya ubinadamu, hatia za kivita na hatia ya ushambulizi (ingawa kwa sasa haiwezi kuwashtaki watu kwa hatia ya ushambulizi)
 
Mahakama haya yaliundwa mnamo tarehe Mosi Julai mwaka wa 2000 - tarehe ambapo Mkataba wa Roma wa Mahakama ya Kimataifa ya Jinai ulipata nguvu za kisheria.
 
Kufikia mwaka wa 2010, nchi 110 zimetia ni wanachama wa mahakama hayo, na nchi zingine 38 zimetia sahini lakini hazijapitisha kisheria Mkataba wa Roma. Hata hivyo, mataifa mengi, ikiwemo [[Uchina]], [[Uhindi]], [[Urusi]] na [[Marekani]] zinalaumu makakama hayo na hazijajiunga nayo.
 
{{mbegu}}
[[Jamii:Sheria]]
Anonymous user

Urambazaji