Tofauti kati ya marekesbisho "Eneo la kudhaminiwa"

Jump to navigation Jump to search
6 bytes removed ,  miaka 10 iliyopita
d
roboti Badiliko: pt:Protetorado das Nações Unidas; cosmetic changes
d (The file Image:LN_Mandate_Map1.png has been replaced by Image:League_of_Nations_mandate_Middle_East_and_Africa.png by administrator commons:User:MGA73: ''File renamed''. ''Translate me!'')
d (roboti Badiliko: pt:Protetorado das Nações Unidas; cosmetic changes)
[[ImagePicha:League_of_Nations_mandate_Middle_East_and_Africa.png|thumb|300px|'''Maeneo ya kudhaminiwa''' <br /> 1 Syria (Ufaransa) - 2 Lebanon (Ufaransa) – 3 Palestina (Uingereza) – 4 Ng’ambo ya Yordani (Uingereza) - 5 Irak ((Uingereza) - 6 Togo (Uingereza) - 7 Togo (Ufaransa) – 8 Kamerun (Uingereza) - 9 Kamerun (Ufaransa) - 10 Ruanda-Urundi (Ubelgiji) - 11 Tanganyika (Uingereza) - 12 Afrika ya Kusini-Magharibi (Afrika Kusini)]]
'''Eneo la kudhaminiwa''' lilikuwa eneo lililokabidhiwa na umma wa kimataifa mkononi mwa nchi iliyotakiwa kulisimamia. Maeneo haya yalianzishwa mwaka 1919 katika [[Mkataba wa Versailles]] uliounda [[Shirikisho la Mataifa]] lililokuwa mtangulizi wa [[Umoja wa Mataifa]] wa leo.
 
Maeneo yote yamepata uhuru. Mfano wa pekee ni [[Israel]] na [[Palestina]] ambako hadi leo hakuna utaratibu wa kudumu katika eneo la kudhaminiwa la zamani.
 
== Kuanzishwa kwa maeneo ya kudhaminiwa ==
Maeneo ya kudhaminiwa yalianzishwa 1919 katika Mkataba wa Versailles. Mkataba uliweka utaratibu mpya wa kimataifa baada ya [[Vita Kuu ya Kwanza ya Dunia]]. Nchi zilizoshindwa katika vita hii hasa [[Dola la Ujerumani]], [[Austria-Hungaria]] na [[Milki ya Osmani]] (Uturuki) zilipotea maeneo makubwa. Sehemu ya maeneo haya yalipewa nafasi ya kuwa nchi huru moja kwa moja kwa mfano nchi kama [[Hungaria]], [[Romania]] au [[Chekoslovakia]].
 
Mengine yalitazamiwa kama bado tayari kwa uhuru hasa koloni za Ujerumani na maeneo ya Waarabu chini ya Milki ya Osmani. Yaligawiwa kwa jumla kati ya Uingereza na Ufaransa; Japani ilipata pia maeneo madogo.
 
== Katiba ya Shirikisho la Mataifa juu ya maeneo ya kudhaminiwa ==
Kifungu 22 cha katiba ya Shirikisho la Mataifa lilieleza:
 
Vipengele hivi vilianzisha muundo wa maeneo ya kudhaminiwa kwenye ngazi za A), B) na C). Maneo ya kudhaminiwa ya A) yalipata kiwango cha utawala wa ndani tangu mwanzo yakapewa uhuru kati ya 1932 na 1946.
 
=== Maeneo ya kudhaminiwa ya kundi A) ===
Maeneo haya yalikuwa sehemu za Milki ya Osmani yasiyokaliwa na Waturuki.
 
* [[Mesopotamia]] iliendelea kupata uhuru kama ufalme wa [[Irak]] (1932)
* [[Palestina]] iligawiwa katika maeneo ya
** Ngambo ya Yordani iliyoendelea kupata uhuru kama ufalme wa [[Yordani]] (1946) na
** Palestina yenyewe ambamo sehemu kubwa ilipata uhuru 1949 kama nchi ya Israel wakati sehemu zilizobaki ziliendelea kuwa maeneo ya [[Mamlaka ya Kitaifa ya Palestina]].
 
Chini ya Ulezi wa Ufaransa:
* [[Syria]] (uhuru 1946)
* [[Lebanon]] (uhuru 1943)
 
=== Maeneo ya kudhaminiwa ya kundi B) ===
Nchi hizi zilikuwa zote koloni za Ujerumani katika Afrika.
 
Chini ya Ulezi wa [[Ubelgiji]]:
* Ruanda-Urundi iliyopata uhuru kama nchi mbili za pekee za Rwanda na Burundi mwaka 1962.
=== Maeneo ya kudhaminiwa ya kundi C) ===
 
 
[[Category:Umoja wa Mataifa]]
[[Category:Historia]]
[[Category:Ukoloni]]
 
===Maeneo ya kudhaminiwa ya kundi C)===
Kundi hili lilijumlisha maeneo mengine yaliyokuwa chini ya Ujerumani pamoja na
* Afrika ya Kusini-Magharibi ikatawaliwa na [[Afrika Kusini]] kama sehemu ya nchi hii ikapata uhuru kama [[Namibia]] mwaka 1990.
 
== Athira ya hali ya kisheria kwa maisha ya koloni ==
Maeneo ya kudhaminiwa ya B) yalitendewa kama koloni za kawaida. Lakini masharti ya udhamini yalikuwa muhimu kwa maazimio ya serikali ya kikoloni hasa baada ya 1946.
 
Katika [[Tanganyika]] upinzani wa Umoja wa Mataifa mwaka 1946 ulizuia mipango ya kuunganisha Tanganyika na Kenya uliyopingwa wakati ule na wenyeji wengi kwa sababu Kenya ilijadiliwa kuwa koloni ya walowezi wazungu hasa.
 
Vilevile maswali ya kamati ya UM yalikuwa na athira katika swali la ardhi ya Waafrika na kupanusha ardhi mkononi mwa walowezi Wazungu. Masharti ya udhamini yalidai ya kwamba Uingereza kama mlezi utatunza ardhi ya wazalendo. Hata hivyo Uingereza ulitumia sheria iliyoangalia ardhi isiyolimwa kama mali ya serikali iliyoweza kukabidhiwa kwa walowezi. Sheria hii haikuheshimu utaratibu wa kilimo cha kijadi ambako mashamba yalihamishwa kila baada ya miaka kadhaa. Kwa njia ya sheria hizi serikali za kikoloni zilitwaa sehemu kubwa ya ardhi ya kimapokeo ya vijiji. Kwa hiyo Uingereza ilikuwa na njia za kupita masharti ya udhamini.
 
Mwaka 1951 serikali ya kikoloni iliwafukuza wakazi wa kijiji cha Engare Nanyuki katika nchi ya Wameru kwa sababu ilipanga kuanzisha mashamba kwa walowezi. Wameru walituma wawakilishi New York waliolalamika mbele ya Umoja wa Mataifa. Sehemu kubwa ya wanachama wa UM walisimama upande wa Wameru; upinzani huu ulikuwa athari muhimu katika maazimio ya Waingereza kutopanusha mno mashamba ya wazungu katika Tanganyika.
 
[[CategoryJamii:Umoja wa Mataifa]]
[[CategoryJamii:Historia]]
[[CategoryJamii:Ukoloni]]
 
[[ca:Territoris fideïcomissaris]]
[[ja:信託統治]]
[[pl:Terytorium powiernicze ONZ]]
[[pt:ProtectoradoProtetorado das Nações Unidas]]
[[ru:Подопечная территория ООН]]
[[vi:Lãnh thổ ủy thác Liên Hiệp Quốc]]
44,008

edits

Urambazaji