Albert Schweitzer : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
d Add image from http://tools.wikimedia.de/~emijrp/imagesforbio/ |
oops. |
||
Mstari 1: | Mstari 1: | ||
[[Picha:Bundesarchiv Bild 183-D0116-0041-019, Albert Schweitzer |
[[Picha:Bundesarchiv Bild 183-D0116-0041-019, Albert Schweitzer.jpg|thumb|right|Albert Schweitzer]] |
||
[[Picha:Tuzo Nobel.png|left|80px]] |
[[Picha:Tuzo Nobel.png|left|80px]] |
||
Pitio la 05:58, 16 Januari 2010
Albert Schweitzer (14 Januari, 1875 – 4 Septemba, 1965) alikuwa mwanateolojia, mwanafalsafa, mwanamuziki na daktari kutoka eneo la Alsatia, ambalo lilikuwa sehemu ya Ujerumani kabla ya Vita Kuu ya Kwanza ya Dunia, lakini la Ufaransa baadaye. Mwaka wa 1952 alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobeli ya Amani kwa ajili ya falsafa yake. Hasa anajulikana kwa kuanzisha na kuongoza kituo cha kimisionari na hospitali eneo la Lambarene nchini Gabon.