Tofauti kati ya marekesbisho "Gervais Yao Kouassi"

Jump to navigation Jump to search
4 bytes added ,  miaka 11 iliyopita
no edit summary
{{Football player infobox
| jinalamchezaji= Gervinho
| picha = [[Picha:Gervinho1.jpg|250px]]
| jinakamili = Gervais Yao Kouassi
| tareheyakuzaliwa = 1987, Mei 27
 
Baada ya misimu miwili saa Toumodi, akaifuata nyayo ya wachezaji wa Ivory Coast na akaenda timu ya ligi ya Ubelgiji,[[KSK Beveren]]. Alicheza huko mpaka mwisho wa msimu wa 2006/07 alipohamia ligi ya [[Ufaransa]] ya [[Ligue 1]] kuchezea timu ya [[Le Mans]].Huku,alicheza pamoja na mchezaji wa kimataifa wa Ivory Coast,Romaric.
[[Picha:Gervinho2.jpg|thumb|200px250px|left|Gervinho akicheza katika timu ya Lille OSC]]
Hapo Mei 2008,baada ya kuwa na msimu wa kucheza soka unaovutia akiwa Ligue 1,iliripotiwa kuwa mshambulizi huyu alikuwa akifuatiliwa na timu kama [[AS Monaco]],[[Paris-St.Germain]],[[Marseille]] na hata timu ya ligi kuu ya Uingereza,[[Arsenal]]. Ripoti ilisema kuwa Arsenal,timu yenye makao yake jijini [[London]] walikuwa wamevutiwa na Gervinho kwa muda mrefu, akiwa amepewa nafasi ya kuungana nao alipokuwa akicheza nchini Ubelgiji.
 
*[http://www.skysports.com/story/0,19528,11661_3560055,00.html Gervinho afurahia kuhusishwa na Arsenal]
 
{{Côte d'Ivoire Squad 20082010 Africa Cup of Nations}}
 
{{DEFAULTSORT:Kouassi, Gervais Yao}}
1,188

edits

Urambazaji