Santa Cruz de Tenerife : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
d roboti Nyongeza: qu:Tiniriphipi Santa Krus
Mstari 71: Mstari 71:
[[jv:Santa Cruz de Tenerife]]
[[jv:Santa Cruz de Tenerife]]
[[ka:სანტა-კრუს-დე-ტენერიფე]]
[[ka:სანტა-კრუს-დე-ტენერიფე]]
[[ko:산타크루스데테네리페]]
[[la:Sancta Crux Nivariae]]
[[la:Sancta Crux Nivariae]]
[[lt:Tenerifės Santa Krusas]]
[[lt:Tenerifės Santa Krusas]]

Pitio la 08:29, 13 Januari 2010


Jiji la Santa Cruz de Tenerife
Nchi Visiwa vya Kanari
Eneo la Santa Cruz kisiwani
Kitovu cha mji wa Santa Cruz
Kitovu cha mji wa Santa Cruz
Mapwa ya Playa de Las Teresitas

Santa Cruz de Tenerife au kwa kifupi Santa Cruz (Kihispania: Msalaba Mtakatifu) ni makao makuu ya utawala wa kisiwa cha Tenerife na moja kati ya miji mikuu miwili ya funguvisiwa ya Visiwa vya Kanari inayojitawala ndani ya Hispania. Visiwa vya Kanari vimo katika sehemu ya Kiafrika ya Atlantiki.

Mji ulikuwa na wakazi 217.415 mwaka 2002. Uko kwenye kaskazini ya kisiwa cha Tenerife. Bandari ni kitovu cha kihistoria ch mji. Kuna feri kati ya mji na Las Palmas de Gran Canaria.

Santa Cruz ilianzishwa mwaka 1494 Wahispania walipovamia Tenerife na kufanya vita dhidi ya wenyeji. Mahali pa mji wa sasa kiongozi Mhispania alisimamisha msalaba mkubwa wa ubao aliposheherekea ushindi juu ya Waguanche wenyeji. Mji mpya ulipokeajina kutokana na msalaba huo.

Mji ulikua kama kituo muhimu cha safari za kuvuka Atlantiki kati ya Ulaya na Amerika.

Santa Cruz ilikuwa mji mkuu wa funguvisiwa mnamo 1812. Tangu 1982 ni mji mkuu pamja na Las Palmas de Gran Canaria. Kila baada ya miaka minne mmoja kati ya miji hii miwili una nafasi ya kuwa mji mkuu.


Viungo vya Nje

Makala hii kuhusu maeneo ya Hispania bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Santa Cruz de Tenerife kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.