Trinidad na Tobago : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
d roboti Badiliko: yo:Trínídád àti Tòbágò; cosmetic changes
Mstari 110: Mstari 110:
[[ht:Trinidad ak Tobago]]
[[ht:Trinidad ak Tobago]]
[[hu:Trinidad és Tobago]]
[[hu:Trinidad és Tobago]]
[[hy:Տրինիդադ և Տոբագո]]
[[id:Trinidad dan Tobago]]
[[id:Trinidad dan Tobago]]
[[ilo:Trinidad ken Tobago]]
[[ilo:Trinidad ken Tobago]]

Pitio la 19:45, 9 Januari 2010

Trinidad na Tobago

Jamhuri ya Trinidad na Tobago ni nchi ya visiwani katika Karibi ya kusini karibu na pwani ya Venezuela upande wa kusini ya kisiwa cha Grenada cha Antili Ndogo. Nchi jirani nyingine kuvukia bahari ni Barbados na Guyana.

Nchi ina eneo la 5,128 km² ambalo karibu lote ni kisiwa kikuu cha Trinidad. Tobago ina asilimia 6 za eneo pekee pamoja na 4% ya wakazi. Kuna visiwa vidogo vingine 21.

Makala hii kuhusu maeneo ya Bahari ya Karibi bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Trinidad na Tobago kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

Kigezo:Link FA