Tofauti kati ya marekesbisho "Makampuni Memba (Soko la Hisa la Nairobi)"

Jump to navigation Jump to search
no edit summary
Makampuni memba ya [[Soko la Hisa la Nairobi]] yanajumuisha [[Mabenki ya Uwekezaji]] na Makampuni za Ubroka. Kwa kuwa memba katika soko hili, makampuni haya yanaruhusiwa kuuza na kununua hisa katika soko kwa niaba ya wawekezaji.
 
== Usajili wa Makampuni Memba ==
Ili kusajiliwa kama kampuni memba katika soko la hisa, ni lazima upate leseni kutoka kwa "[[Capital Markets Authority]]" (CMA). Leseni hiyo huwasilishwa kwa makampuni yaliyo timiza masharti ya kupewa leseni ya CMA. Masharti haya yanaweza patikana katika tovuti la * [http://www.nse.co.ke/newsite/ Soko la Hisa la Nairobi].
 
== Orodha ya Makampuni Memba ==
264

edits

Urambazaji