Antonio José de Sucre : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
d roboti Nyongeza: an, ar, ast, br, ca, eo, es, fi, fr, gl, he, it, ja, ka, ko, lt, ms, nl, no, pl, pt, qu, ru, sk, sr, sv, war, zh
Mstari 34: Mstari 34:
[[sr:Антонио Хосе де Сукре]]
[[sr:Антонио Хосе де Сукре]]
[[sv:Antonio José de Sucre]]
[[sv:Antonio José de Sucre]]
[[uk:Антоніо Хосе де Сукре]]
[[war:Antonio José de Sucre]]
[[war:Antonio José de Sucre]]
[[zh:安东尼奥·何塞·苏克雷]]
[[zh:安东尼奥·何塞·苏克雷]]

Pitio la 12:44, 7 Januari 2010

Antonio José de Sucre (3 Februari, 1795 - 4 Juni, 1830) alikuwa mwanajeshi na mwanasiasa wa Amerika Kusini akipigania uhuru wa nchi mbalimbali pamoja na rafiki yake wa karibu Simon Bolivar. Alikuwa Rais wa sita wa Peru kuanzia tarehe 23 Juni hadi 17 Julai, mwaka wa 1823. Tena alimfuata Simon Bolivar kuwa Rais wa pili wa Bolivia kuanzia tarehe 29 Desemba, 1825 hadi 18 Aprili, 1828. Alijiuzulu na kuhamia mjini Quito. Aliuawa kwa kupigwa risasi aliposafiri karibu na mji wa Pasto nchini Colombia.

Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Antonio José de Sucre kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.