Uswisi : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
mbegu-jio-Uswisi
Mstari 1: Mstari 1:
{{Infobox Country |common_name = Switzerland
{{Infobox Country |common_name = Switzerland
|native_name = ''Confoederatio Helvetica''
''Schweizerische Eidgenossenschaft''
''Confédération suisse''
''Confederazione Svizzera''
''Confederaziun svizra''
Shirikisho la Uswisi
|native_name = ''Schweizerische Eidgenossenschaft''
''Confédération suisse''
''Confederazione Svizzera''
''Confederaziun svizra''
''Confoederatio Helvetica''
Shirikisho la Uswisi
|image_flag = Flag of Switzerland.svg|image_coat = Coat of Arms of Switzerland.svg
|image_flag = Flag of Switzerland.svg|image_coat = Coat of Arms of Switzerland.svg
| symbol_type=Nembo
| symbol_type=Nembo

Pitio la 18:59, 6 Januari 2010

Uswisi

Uswisi ni nchi ndogo ya Ulaya. Imepakana na Ujerumani, Ufaransa, Italia, Austria na Liechtenstein.

Jina rasmi ni Confoederatio Helvetica (Kilatini: Shirikisho la Kiswisi). Kuna lugha rasmi 4: Kijerumani, Kifaransa, Kiitalia na Kirumanj. Majimbo yake huitwa "kantoni" yanajitawala.

Mji mkuu wa shirikisho ni Bern. Mji mkubwa ni Zürich penye benki nyingi. Mji wa Geneva ni kati ya makao makuu ya Umoja wa Mataifa ni pia makao makuu ya kimataifa ya Umoja wa shirika za Msalaba Mwekundu na mashirikia mengine ya kimataifa.

Uswisi imepata umaarufu hasa kutokana na sababu zifuatazo:

• ni nchi isiyoshiriki katika vita tangu zaidi ya miaka 300
• ni nchi ambapo watu wenye utamaduni tofauti sawa na nchi jirani wameshirikiana karne nyingi kwa amani
• ni nchi iliyotunza demokrasia tangu karne nyingi bila kuwa na vipindi vya udikteta au utawala wa mabavu, tena demokrasia ya moja kwa moja ambako wananchi wa kawaida wana haki ya kutunga au kubadilisha sheria kwa njia ya kura wa watu wote
• ni nchi yenye benki zenye sifa kote duniani

Ramani

Ramani

Tazama pia

Marejeo

Viungo vya Nje

Kigezo:Link FA

Kigezo:Link FA Kigezo:Link FA

Makala hii kuhusu maeneo ya Uswisi bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Uswisi kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.