Wikipedia ya Kihispania : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
d roboti Badiliko: ext:Wikipedia en español
Mstari 43: Mstari 43:
[[es:Wikipedia en español]]
[[es:Wikipedia en español]]
[[eu:Gaztelaniazko Wikipedia]]
[[eu:Gaztelaniazko Wikipedia]]
[[ext:Güiquipeya en español]]
[[ext:Wikipedia en español]]
[[fa:ویکی‌پدیای اسپانیایی]]
[[fa:ویکی‌پدیای اسپانیایی]]
[[fi:Wikipedia:Espanjankielinen Wikipedia]]
[[fi:Wikipedia:Espanjankielinen Wikipedia]]

Pitio la 12:14, 3 Januari 2010

Wikipedia ya Kihispania
Kisarahttp://es.wikipedia.org/
Ya kibiashara?Hapana
Aina ya tovutiMradi wa Kamusi Elezo ya Interneti
KujisajiriHiari
Lugha asiliaKihispania
MmilikiWikimedia Foundation

Wikipedia ya Kihispania (Kihispania: Wikipedia en Español) ni toleo la kamusi elezo ya Wikipedia kwa lugha ya Kihispania. Ilianzishwa mnamo mwezi Mei, 2001. Mnamo tar. 8 Machi ya mwaka wa 2006, Wikipedia ya Kihispania imefikisha makala 100,000.

Kwa sasa, ni Wikipedia ya 9 kwa ukubwa kwa hesabu ya makala, inafuatiwa na Wikipedia ya Kisweden mnamo mwezi Aprili, 2007. Zamani ilikuwa Wikipedia ya 8 kwa ukubwa, hadi ilipofika mwezi wa Mei mwaka 2005 ikapitwa na Wikipedia ya Kireno kisha Wikipedia ya Kiitalia kunako mwezi wa Agosti 2005. Mnamo tar. 18 Novemba, 2007, Wikipedia ya Kihispania imefikisha makala 300,000.

Tazama pia

Viungo vya Nje