Monterrey, Nuevo León : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
d roboti Ondoa: gl:Monterrey
d roboti Nyongeza: bo:མཱོན་ཊི་རེ།; cosmetic changes
Mstari 18: Mstari 18:
Mji uliundwa mwaka [[1596]].
Mji uliundwa mwaka [[1596]].


[[image:Monterrey location.png|thumb|left|220px|]]
[[Picha:Monterrey location.png|thumb|left|220px|]]


{{mbegu-jio-Mexiko}}
{{mbegu-jio-Mexiko}}
Mstari 28: Mstari 28:
[[be:Горад Мантэрэй]]
[[be:Горад Мантэрэй]]
[[bg:Монтерей (Мексико)]]
[[bg:Монтерей (Мексико)]]
[[bo:མཱོན་ཊི་རེ།]]
[[ca:Monterrey]]
[[ca:Monterrey]]
[[cs:Monterrey]]
[[cs:Monterrey]]

Pitio la 07:13, 2 Januari 2010


Jiji la Monterrey
Nchi Mexiko
Jimbo Nuevo León
Idadi ya wakazi
 - Wakazi kwa ujumla 1,133,814
Tovuti:  www.monterrey.gob.mx

Monterrey (montɛˈrei) ndiyo mji mkuu na mji mkubwa katika jimbo la Nuevo León. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mnamo mwaka wa 2005, mji una wakazi wapatao 1,133,814 wanaoishi katika mji huu. Eneo lake ni 860.70 km².

Ni mji muhimu wa biashara na viwanda.

Mji uliundwa mwaka 1596.

Makala hii kuhusu maeneo ya Mexiko bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Monterrey, Nuevo León kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.