Vita vya wenyewe kwa wenyewe nchini Marekani : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
d roboti Nyongeza: fiu-vro:Ameeriga Ütisriike kodosõda; cosmetic changes
Mstari 17: Mstari 17:
== Viungo vya Nje ==
== Viungo vya Nje ==
* [http://www.civil-war.net The Civil War Home Page]
* [http://www.civil-war.net The Civil War Home Page]
{{commonscat|American Civil War|Vita vya wenyewe kwa wenyewe vya Marekani}}



[[Jamii:Historia ya Marekani]]
[[Jamii:Historia ya Marekani]]
[[Jamii:Vita]]
[[Jamii:Vita]]

{{commonscat|American Civil War|Vita vya wenyewe kwa wenyewe vya Marekani}}


{{Link FA|als}}
{{Link FA|als}}
Mstari 56: Mstari 54:
[[fa:جنگ داخلی آمریکا]]
[[fa:جنگ داخلی آمریکا]]
[[fi:Yhdysvaltain sisällissota]]
[[fi:Yhdysvaltain sisällissota]]
[[fiu-vro:Ameeriga Ütisriike kodosõda]]
[[fo:Amerikanska Borgarakríggið]]
[[fo:Amerikanska Borgarakríggið]]
[[fr:Guerre de Sécession]]
[[fr:Guerre de Sécession]]

Pitio la 23:23, 1 Januari 2010

Majimbo ya Kaskazini na ya Kusini ya Marekani mwaka 1861
Buluu: Majimbo ya Kaskazini (Maungano ya Madola ya Amerika) yaliyokataza utumwa
Njano:Majimbo ya Kaskazini yaliyokubali utumwa
Nyekundu: Majimbo ya Kusini (Shirikisho la Madola ya Amerika)
Mapigano ya Antietam wakati wa vita vya wenyewe kwa wenywe vya Marekani

Vita vya wenyewe kwa wenyewe nchini Marekani vilipiganiwa kuanzia 1861 hadi 1865 kati ya majimbo ya kusini na majimbo ya kaskazini nchini Marekani.

Kundi la majimbo ya kusini likajitenga na Maungano ya Madola ya Amerika likajiita "Shirikisho la madola ya Amerika" na idadi kubwa zaidi ya majimbo ya kaskazini pamoja na serikali kuu yalitaka kuzuia farakano hili.

Sababu moja muhimu ya vita ilikuwa swali la utumwa. Majimbo ya kaskazini yaliwahi kupiga utumwa marufuku lakini majimbo ya kusini yaliendelea na sharia zilizoruhusu utumwa na matajiri wengi wa kusini walitegemea kazi ya watumwa.

Sababu nyingine zilikuwa tofauti za kiuchumi; majimbo ya kaskazini yalikuwa na viwanda na miji mingi mikubwa lakini uchumi wa kusini ulikuwa hasa kilimo kilichotegema kazi ya watumwa.

Uchaguzi wa mwanasiasa Abraham Lincoln aliyekuwa mpizani wa utumwa kuwa rais wa Marekani uliharakisha farakano kutokea.

Vita vilikuwa virefu na watu 650.000 walikufa lakini mwishoni kaskazini ilishinda.


Viungo vya Nje

Wikimedia Commons ina media kuhusu:

Kigezo:Link FA Kigezo:Link FA Kigezo:Link FA Kigezo:Link FA