Gloria Macapagal Arroyo : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
d roboti Nyongeza: eo:Gloria Macapagal-Arroyo |
d roboti Nyongeza: yo:Gloria Macapagal-Arroyo |
||
Mstari 66: | Mstari 66: | ||
[[vi:Gloria Macapagal-Arroyo]] |
[[vi:Gloria Macapagal-Arroyo]] |
||
[[war:Gloria Macapagal-Arroyo]] |
[[war:Gloria Macapagal-Arroyo]] |
||
[[yo:Gloria Macapagal-Arroyo]] |
|||
[[zh:格洛丽亚·马卡帕加尔-阿罗约]] |
[[zh:格洛丽亚·马卡帕加尔-阿罗约]] |
Pitio la 08:32, 31 Desemba 2009
Gloria Macapagal Arroyo (amezaliwa tar. 5 Aprili, 1947) Pia anafamika kwa jina la ufupi kama G.M.A, ni rais wa 14 wa Ufilipino, Ambaye kwa sasa ndiye anae ongoza nchi ya Ufilipino.
Ni rais wa pili wa kike kuongoza nchi ya Ufilipino baada ya Corazon Aquino. ni binti wa rais wa zamani wa Ufilipino mzee Diosdado Macapagal. Kabla ya kuwa rais, mwanzoni alikuwa makamo wa rais wa Ufilipino.
Viungo vya Nje
Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Gloria Macapagal Arroyo kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |