Ernst Ruska : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
d roboti Nyongeza: ar:إرنست روسكا |
d roboti Nyongeza: vi:Ernst Ruska |
||
Mstari 40: | Mstari 40: | ||
[[ta:ஏர்ணஸ்ட் ருஸ்கா]] |
[[ta:ஏர்ணஸ்ட் ருஸ்கா]] |
||
[[tr:Ernst Ruska]] |
[[tr:Ernst Ruska]] |
||
[[vi:Ernst Ruska]] |
|||
[[zh:恩斯特·鲁斯卡]] |
[[zh:恩斯特·鲁斯卡]] |
Pitio la 15:12, 26 Desemba 2009
Ernst August Friedrich Ruska (25 Desemba, 1906 – 27 Mei, 1988) alikuwa fundisanifu wa umeme kutoka nchi ya Ujerumani. Hasa anajulikana kwa kubuni hadubini ya elektroni. Mwaka wa 1986, pamoja na Gerd Binnig na Heinrich Rohrer alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia.
Makala hii kuhusu mwanasayansi fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Ernst Ruska kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |