Kiukraini : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
d roboti Badiliko: yo:Èdè Ukraníà
Mstari 197: Mstari 197:
[[gv:Ookraanish]]
[[gv:Ookraanish]]
[[he:אוקראינית]]
[[he:אוקראינית]]
[[hi:यूक्रेनी भाषा एवं साहित्य]]
[[hr:Ukrajinski jezik]]
[[hr:Ukrajinski jezik]]
[[hsb:Ukrainšćina]]
[[hsb:Ukrainšćina]]

Pitio la 15:53, 25 Desemba 2009

Kikraini
Kinazungumzwa nchini: Ukraine, Urusi, Kazakhstan, Moldova, Marekani, Kanada, Belarus, Ureno, Slovakia, Argentina, Kyrgyzstan, Latvia, Romania, Ulaya ya Magharibi, Croatia
Waongeaji: Milioni 39
Daraja: 25
Lugha rasmi:
Nchi: Ukraine
Uainishaji wa kiisimu:
Lugha za Kihindi-Kiulaya
   Lugha za Kislavoni
      Kislavoni cha Mashariki
         Kiukraine

Kiukraine (Kiukraine: українська (мова), transliteration: ukrajins'ka mova) ni lugha ya Kislavoni cha Mashariki. Lugha hii ni moja kati ya familia ya lugha za Kihindi Kiulaya.

Kiukraine ni lugha ya pili inayozungumzwa sana katika orodha ya lugha za Kislavoni. Ni lugha rasmi nchini Ukraine. Kuna waongeaji milinio 37 wanaongea lugha hii nchini Ukraine.

Wengi wao ni wenyeji wa lugha hii. Kwa hesabu ya dunia nzima, kuna waongeaji wapatao milioni hamsini wanaongea lugha hii.

Lugha ya Kiukraine huandikwa kwa herufi za Kicyrillic.

Alfabeti

Afabeti za Kiukraine kwa tafsiri ya maelezo kuelekea Kijerumaini:

Groß (HTML-Entity) Klein (HTML-Entity) wissenschaftliche
Transliteration
deutsche
Transkription
А (А) а (а) A a A a
Б (Б) б (б) B b B b
В (В) в (в) V v W w
Г (Г) г (г) H h H h
Ґ (Ґ) ґ (ґ) G g G g
Д (Д) д (д) D d D d
Е (Е) е (е) E e E e
Є (Є) є (є) Je je Je je
Ж (Ж) ж (ж) Ž ž Sch (Sh) sch (sh)
З (З) з (з) Z z S s
И (И) и (и) Y y Y y
І (І) і (і) I i I i
Ї (Ї) ї (ї) Ji ji Ji ji
Й (Й) й (й) J j 1 J j
К (К) к (к) K k K k (statt ks auch x)
Л (Л) л (л) L l L l
М (М) м (м) M m M m
Н (Н) н (н) N n N n
О (О) о (о) O o O o
П (П) п (п) P p P p
Р (Р) р (р) R r R r
С (С) с (с) S s S s (zwischen Vokalen auch ss)
Т (Т) т (т) T t T t
У (У) у (у) U u U u
Ф (Ф) ф (ф) F f F f
Х (Х) х (х) Ch ch Ch ch
Ц (Ц) ц (ц) C c Z z
Ч (Ч) ч (ч) Č č Tsch tsch
Ш (Ш) ш (ш) Š š Sch sch
Щ (Щ) щ (щ) Šč šč Schtsch schtsch (Stsch stsch)
ь (ь) ’ bzw. j 2 (Weichheitszeichen) (–) bzw. j
Ю (Ю) ю (ю) Ju Ju Ju ju
Я (Я) я (я) Ja ja Ja ja
’ (apostrophe)3 (–)